Lady Jaydee avunja rekodi ya Tuzo Tanzania nzima (2001 - 2014)

Binamu usinichekeshe kiuno kama kinu. Ameshapotea hawezi kurudi maana sasa amenenepeana kama tembo.

Ray c akiamua anaweza kuja vizur maana yule ndiye kiboko ya jide , at least anaweza shindana nae na sio hawa ma underground

Kuna siku nilicheka sana , mashabiki walikuwa wanamlalamikia jide eti kwenye show zake uwa hakati mauno dah nilicheka sana
 
Nasikia Dinazarde huyu ndo role model wako , et kweli?
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli nampa hongera na ni wazi hana mpinzani!
 
Hahaha huyu jamaa alikuwa mbeya sana daaa

Nilikuwa naipenda sana couple yao na miss rebbeca yani ni wambea ukiwaangalia usoni unawajua tu walivyojawa na umbea

Wanatusingiziaga tu Mimi na Dinazarde eti wabongo ndio wambea , waulize hizo namba mbili ni balaa , sisi tunasubir
 
Last edited by a moderator:
Naangalia hapa The diary nimgundua Jide ana vitu fulan vinavyo mtofautisha na wengine ndio maana watu wanampenda! Yani Unaona kuna uhalisia kwenye anayo yafanya!
 
Hahaha alikuwa mbeya sana na rebecca hivi ilikuwa shades of sin au?
 
Last edited by a moderator:
Naangalia hapa The diary nimgundua Jide ana vitu fulan vinavyo mtofautisha na wengine ndio maana watu wanampenda! Yani Unaona kuna uhalisia kwenye anayo yafanya!

Yes mkuu hana mashauzi na yupo serious na anachokifanya hanaga mashauzi ya kujifanya matawi ya juu kama mama ubaya kweny my shoes, yan anajionaga Kim kardashian kumbe njaa tu , jide anajielewa sana, ukimuangalia kwenye diary hutaman kuacha kumsikiliza
 
Duuu kumbe ana mashabiki wengi kiasi hiki kenya ,naona alifanya tamasha huko machako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…