Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Hata kama Nina mahaba nae ila si ukweli ana kiuno kigumu? Namuonaga mwenyew anajitaidig kukikata Lakin wapi mmh kweli mungu akupi kila kitu
Hhhaaaa weka picha au hakwenda kupokea tuzo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama Nina mahaba nae ila si ukweli ana kiuno kigumu? Namuonaga mwenyew anajitaidig kukikata Lakin wapi mmh kweli mungu akupi kila kitu
Hata kama Nina mahaba nae ila si ukweli ana kiuno kigumu? Namuonaga mwenyew anajitaidig kukikata Lakin wapi mmh kweli mungu akupi kila kitu
Binamu usinichekeshe kiuno kama kinu. Ameshapotea hawezi kurudi maana sasa amenenepeana kama tembo.
Picha hiyo akifanya yake , sasa wewe jishaue uone kitakachokukuta , mie simo
Kweli anafanya yake naona had pete kavishwa kule coco beach anajitahid na yeye
My role model, cc Dinazarde
Hahaha huyu jamaa alikuwa mbeya sana daaa
Hahaha alikuwa mbeya sana na rebecca hivi ilikuwa shades of sin au?Nilikuwa naipenda sana couple yao na miss rebbeca yani ni wambea ukiwaangalia usoni unawajua tu walivyojawa na umbea
Wanatusingiziaga tu Mimi na Dinazarde eti wabongo ndio wambea , waulize hizo namba mbili ni balaa , sisi tunasubir
Naangalia hapa The diary nimgundua Jide ana vitu fulan vinavyo mtofautisha na wengine ndio maana watu wanampenda! Yani Unaona kuna uhalisia kwenye anayo yafanya!
Yaaah your rightSecond chance mkuu