Lady Jaydee avunja rekodi ya Tuzo Tanzania nzima (2001 - 2014)

Mimi naamini kama ungekuwa unasema kweli wala usinge tumia nguvu nyingi kutuaminisha Maana tungeona wenyewe kwa macho na hasingekuwa siri!

Mimi naamini G yuko na Jide sababu anampenda kwa dhati na kama Ingekuwa sababu ni pesa basi wangeisha achana maana Jide si mwanamke pekee mwenye pesa Dar au Tanzania bali wapi wengi sana!

Na hakuna mahusiano parfect hapa duniani!
Kwakweli mimi ntaendelea kumsifu G kwa upendo wake kwa Jide maana kama si upendo pengine wasinge kuwa pamoja!

Hivi kwanini mnachukia mkiona watu wamedumu pamoja?
 
usipaniki mzazi jibu hoja eti ana heshima kwenye jamii ya kuiba waume za watu...ona mikosi inamuandama....atashika pesa tu lakini vingine atavisikia redioni na kutizama picha ha ha haa ha!

Huna Hoja unaarisha tu apa upuuzi, huyo jide hana dhiki za kipuuzi na wala hana shobo na mtu, kama pesa anazo za kutosha na maisha yanaendelea kama unataka mtoto zaa wa kwako umlee
 
mpaka raha jamani...sasa huyo ndo mume aliyempata comando wenu...sasa mtu anayempenda mkewe anafanya uchafu huo...jamani kwa nini huyo jiiide asitafute hata baba mjane atulie nae mwisho atapata na maukimwi bure! kisa nini sasa kinachomfanya amgande na huku hana msimamo kama unavykiri mwenyewe hapa.
 
wewe YULE ALIOA TENA KANISANI ndo akatokea msukule wenu akamuiba na ndumba juu...ndo mana alipozinduka ana haha kutoka na huyu mara yule!
Kumuita mwanamke mwenzio msukule wala haipendezi kabisa!

Hivi wewe unajuaje kama huyo mwanamke aliyo achwa na G hakuwa na tatizo? Wewe ni ndugu yako wa karibu?

Wewe unaamini kwenye ndumba ?
 
Huna Hoja unaarisha tu apa upuuzi, huyo jide hana dhiki za kipuuzi na wala hana shobo na mtu, kama pesa anazo za kutosha na maisha yanaendelea kama unataka mtoto zaa wa kwako umlee

ha haaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
skendo s kweli anamsingizia maana ishu ya gadna mkewe ya mda sana since2003 na yule dada asa hv kabadili dini kaolewa na yeye
na mbona jida katoa albam nyingi tu hata baada ya ishu hyo
ye aseme hampendi tu...!!!
 
Last edited by a moderator:
Mbona unaongea kama wewe ndio muhusika mkuu?
 
Kumuita mwanamke mwenzio msukule wala haipendezi kabisa!

Hivi wewe unajuaje kama huyo mwanamke aliyo achwa na G hakuwa na tatizo? Wewe ni ndugu yako wa karibu?

Wewe unaamini kwenye ndumba ?

msukule najua sio neno zuri yeye anavyoita wenzake mwanahamisi na ni wanaume......jino kwa jino.....ana mdomo yule mwone vile vile akiwa nje!
 

Huyu labda mchepuko wa gadna ndo maana ana hasira
KUNA WIMBO JIDE ANASEMA KABISA MLISEMQ NTAOLEWA LINI,MKAJA NTAACHIJA LINI NA SASA NTAZAA LINI
ANA HUSDA TU HUYO DADA...!
 
hakuna mkuu kuna watu humu wanajifanya wanamjua sana wakati sio kweli...wanyamaze kabla sijamvua nguo...

binadamu mshumaa
unawaka huku unakwisha
na dunia ni hadaa
wahenga walithibitisha
ukiendekeza njaa
huendelei maisha
alo na husda ilomjaaa...!!!
huku yy anakeshaaa..
anakuombea balaa...!!
uyaakimbie maishaaa...
UNAPOJALIWA NEEMA YA MUNGU LAZIMA HUSDA IWEPO
MABAYA UTAOMBEWA PIA NA MAJUNGU NA NYINGI CHOKOCHOKO
MJA HUINUAAA..
IMANI TA MUNGUU...!
ATAOMBA DUA...!$
AMUUDHI MUNGUU..!!
MJA UNAJUAAA
KUMMUDHI MUNGU..
KWA LAANA ZAKOO...!!
 
kaka RUTHA ivi unamjua G UNAMSIKIA...PALEPALE NYUMBANI LONGE anavikamua...pale hakuna ndoa bali maigizo..sasa kama ni ivyo kwamba wenye pesa wapo wengi si mpaka awapate sio wote wapuuzi mi nasema ni afadhali mtu umpe pesa mwanaume na huku akiwa na mapenzi ya kweli na wewe....sasa kipimo cha mapenzi ninini kama sio UAMINIFU?
 
msukule najua sio neno zuri yeye anavyoita wenzake mwanahamisi na ni wanaume......jino kwa jino.....ana mdomo yule mwone vile vile akiwa nje!

Sasa mdomo wake wewe unakuhusu nini? Na wewe apa unafanya nini? Kama sio kupiga mdomo? Ebu acha unafik, mdomo ni wake na wewe una wake, kama unamtaka gadner imekula kwako kaoge
 
hakuna mkuu kuna watu humu wanajifanya wanamjua sana wakati sio kweli...wanyamaze kabla sijamvua nguo...

Eeh sasa unamtisha nani? Ebu tupe uo umbea apa sio unatutishia, maana hayo ndo tunayoyatala humu , sasa unaanza oooh gadner kama alikuacha kwenye mataa mtajijua wenyew umfuate uko kimar usitupigie makerere apa, aya mvue izo nguo tuone uchi wake maana unaongea sana
 
Wewe Gardner atakua alikuacha vibaya sana aisee maana unatokwa povu vibaya..jaydee hanaga skendo za kipuuzi unataka kulazimisha watu wamuone mbaya..toka jide kaolewa ni miaka mingapi imepita maana kama ni laana zenu angeachika kitaambo ila yupo analisongesha na huyo Gardner ndo kamng'ang'ania balaa wewe chuki yako sidhani hata kama itamnyima usingizi
 

Kama wenyew wanaishi kwa amani na furaha wewe kinachokuuma nini kama sio uchawi?
 
Aisee ina maana wewe ulisha shuhudia G akifanya hivi au wewe ni muhusika wa maeneo yale au wewe ni wa pale? Unajua ndoa nyingi zina lindwa na uvumilivu kama wameweza kuvumiliana hadi sasa mi nafikiri inabidi uwapongeze na hakuna ndoa iliyo kamilika na kama watu wana aminiana Haya yanayo semwa yanaweza yasisaidie lolote.
 

Ebu sema wewe, huyu msukule wa gwajima sijui katumwa clouds na mbona kachemka kama alimpa gadner uko chini akapachakaza na kumuacha atajibeba, ndo ajue tofauti ya mke na hawara, wenyew wanachezewa mwisho wa siku jamaa anarud kwa mkewe na bado mwaka huu
 
Huyu labda mchepuko wa gadna ndo maana ana hasira
KUNA WIMBO JIDE ANASEMA KABISA MLISEMQ NTAOLEWA LINI,MKAJA NTAACHIJA LINI NA SASA NTAZAA LINI
ANA HUSDA TU HUYO DADA...!

nicheke mie......jamani Jf raha sana..watu wana maneno matamu....he he heeeeeeeeeeeee!
 

hapo cha chacha!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…