Huyo JD naye mnafiki tu eti leo ndo anajifanya analiona hilo tatizo kisa limemkuta yeye,mbona mmewe alipokuwa kwenye hiyo system ya unyonyaji wa wasanii alikuwa kimya?Mbona enzi zile mmeo akiwa kwenye kipindi cha jahazi ilikuwa daily lazima apige nyimbo yake hukusema Cloudz wanakupendelea?Acha kulialia,malipo hapahapa duniani,alichokuwa anawafanyia mmeo wasanii wengine ndicho kinachoanza kukupata(RISASI ZIMEKURUDIA).Then rejea huu mstali kutoka kwa N2N, "YULE ALIYEKUPANDISHA NDIO ATAKAYE KUSHUSHA"