Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani aliyekutoa ana haki ya kukushusha? Kwani mtu akikusaidia ina maana ana haki ya kufanya lolote juu yako sulalamike?
Tatizo letu wabongo ni kukurupuka kusiko na kufikiria... kwa masikio yangu nimeusikia wimbo huu ukipigwa mara kadhaa kwenye kituo hicho halikadhalika niliusikia ukiwa introduced kwenye radio hiyo kwenye kipindi cha xxl na pia nimeisikia mara kadhaa kwenye vipindi tofauti... sitetei may be kama kuacha kuipiga wawe wameacha kuipiga hivi karibuni... ila akisema wimbo wake hauchezwi ni muongo... then inaonesha dhahiri wengi wanaocomment katika hili si wasikilizaji wa radio ila ni ushabiki ndio umetawala.. ni kweli wana matatizo ila si katika hili... binti ana jengine sio suala la wimbo kutokuchezwa hiyo ni sababu ya kujikusanyia idadi ya wafata mkumbo na ushabiki.
KakaJambazi Jaydee ni mwanamke bhanaaa!...........wape hi radio ya 60.6% a.k.a kipaza sauti cha kawambwaMbona kaongea tena kimafumbo kama yeye kweli ni mwanaume na ameamua kufunguka?!
Mbona kaongea tena kimafumbo kama yeye kweli ni mwanaume na ameamua kufunguka?!
Nadhani kinachomuma Jide ni Clouds kufagilia SKYLIGHT BAND.
kuacha kupiga nyimbo zako ndo kukushusha?si zipo radio/tv stations nyingine kwa nini usipeleke huko zikapigwa?kama yeye alifanyiwa promo enzi hizo kuna ubaya gani na diamond akafanyiwa same thing sasa?au jide anamiliki/anahisa clouds?acheni ushamba
Hawa wasanii wa bongo mi nawaita wajinga kwa sababu wao ndio wanafiki na wataendelea kuburuzwa na hao clouds mpaka mwisho wa dunia, unafiki wa kwanza ni kutoziamini/kudharau redio nyingine na kuona kuwa nyimbo zao haziwezi ku hit mpaka zipigwe na clouds. Na unafiki wa wao kwa wao wasanii ambao wanatukuzwa na kupambwa kijinga na clouds kwa nia ya kuibiwa wanawatenga wasanii wengine wanajiona wao ndio wao lakini wakibwagwa ndio wanalalamika na kutaka msaada(ndio yaliyomkuta jay dee) ushauri wangu kwa wasanii jikazeni lenu liwe 1 unganeni kiukweli sio kinafiki, mtakuwa matajiri wa kubwa na hamtolalamika ovyo. Maana kwa unafiki wao ndio unawasumbuaHivi bongo kuna redio moja tu??