Lady Jaydee Haikufaa uimbe uliyoimba ndani ya Ndindindi

Hiyo Ni Kweli ipo Mkuu, sikatai. Ila ona unamuimba Jamaa ambaye Ni mkimya sana, hana Kelele Na mtu! Au unafikiri Jide hajawahi kumkosea Jamaa?
 
Hivi ndi ndi ndi inachezwaje.........?.....nataka kucheza.....
Unatikisa kichwa Na mguu taratibu tu! Kuna nyimbo zimeimbwa mahususi Kwa kusikiliza tu Preta.
 
Hiyo Ni Kweli ipo Mkuu, sikatai. Ila ona unamuimba Jamaa ambaye Ni mkimya sana, hana Kelele Na mtu! Au unafikiri Jide hajawahi kumkosea Jamaa?
halafu hao aliowataja unakuta mistari yao kidogo ya heshima, jide alishwahi kuimba wanaume kama mabint maneno ya kuchoma.
 
halafu hao aliowataja unakuta mistari yao kidogo ya heshima, jide alishwahi kuimba wanaume kama mabint maneno ya kuchoma.
Ha ha ha ha haaa! Alimuimba Msanii Mmoja Hivi alikua anajisikia sana by that moment I think it was 2003 Kama sikosei.
 
Kweli embu mwambie kuwa asilimia 90 ya nyimbo za Eminem ni life yake na ndiye anapiga platinum kila album sasa jide kuimba life yake umekuwa noma
Kwanza jide hajataja jina LA mtu....karusha jiwe gizani tu sema bahari mbaya limempata mleta mada
 
Sawa dogo Imma!
 
Wanamuziki wengi hasa wa kimataifa huimba maisha yao

Na Jide pia anaimba maisha yake kwan wengi wanamapito kama hayo lakin mwisho siku ni lazima maisha yaende.

Go go go JiDe Komandoooooooo
 
NB: Kuhusu kuweka neon wanaume wa DAR nimetania tu. mana muweka mada nae ameanza zake.

Hahaaaa inaonekana wanaume wa Dar wanadharaulika sana. Inafikia mahali mwanaume akisema anaishi Dar anaonekana nyoronyoro; wakulishwa; wasiojitambua; wakulialia kama mabinti.

Kwa ujumla Dar hamna wanaume bure kabisa...
 
A JILTED WOMAN IS MORE DANGEROUS THAN A HUNGRY LION
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…