Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo Ni Kweli ipo Mkuu, sikatai. Ila ona unamuimba Jamaa ambaye Ni mkimya sana, hana Kelele Na mtu! Au unafikiri Jide hajawahi kumkosea Jamaa?Nikufahamishe tu kwenye muziki kuimba maisha yako sio jambo baya au geni na mastaa wengi huimba maisha yao.
Mifano :
Mariah Carey - my all, love takes time n.k aliimba mahusiano yake.
Aaliyah wimbo uliobeba album age ain't nothing but a number alilenga kuwazima mdomo waliokuwa wanasema mahusiano yake na R kelly.
Kwenye hip hop ndio kabisaa wakali huwa wanaimba maisha yao na in fact, ukijifanya kuimba maisha ya ghetto wkt umekulia getini lazima atatoka Mc kukuchana.
Huyo Jide hajaanza leo nyimbo kama Wanaume kama mabinti, siri yangu, siku hazigandi n. k zote zinamhusu.
halafu hao aliowataja unakuta mistari yao kidogo ya heshima, jide alishwahi kuimba wanaume kama mabint maneno ya kuchoma.Hiyo Ni Kweli ipo Mkuu, sikatai. Ila ona unamuimba Jamaa ambaye Ni mkimya sana, hana Kelele Na mtu! Au unafikiri Jide hajawahi kumkosea Jamaa?
Ha ha ha ha haaa! Alimuimba Msanii Mmoja Hivi alikua anajisikia sana by that moment I think it was 2003 Kama sikosei.halafu hao aliowataja unakuta mistari yao kidogo ya heshima, jide alishwahi kuimba wanaume kama mabint maneno ya kuchoma.
Naomba unisaidie maana ya "wanaume wa Dar"NB: Kuhusu kuweka neon wanaume wa DAR nimetania tu. mana muweka mada nae ameanza zake.
Humu Ndani kulitoka hiyo Thread ya wanaume wa Dara basi imekuwa nikuchokozana tu wa DAR na wa mikoani.Naomba unisaidie maana ya "wanaume wa Dar"
Kweli embu mwambie kuwa asilimia 90 ya nyimbo za Eminem ni life yake na ndiye anapiga platinum kila album sasa jide kuimba life yake umekuwa nomaNikufahamishe tu kwenye muziki kuimba maisha yako sio jambo baya au geni na mastaa wengi huimba maisha yao.
Mifano :
Mariah Carey - my all, love takes time n.k aliimba mahusiano yake.
Aaliyah wimbo uliobeba album age ain't nothing but a number alilenga kuwazima mdomo waliokuwa wanasema mahusiano yake na R kelly.
Kwenye hip hop ndio kabisaa wakali huwa wanaimba maisha yao na in fact, ukijifanya kuimba maisha ya ghetto wkt umekulia getini lazima atatoka Mc kukuchana.
Huyo Jide hajaanza leo nyimbo kama Wanaume kama mabinti, siri yangu, siku hazigandi n. k zote zinamhusu.
Sawa dogo Imma!Kweli embu mwambie kuwa asilimia 90 ya nyimbo za Eminem ni life yake na ndiye anapiga platinum kila album sasa jide kuimba life yake umekuwa noma
Kwanza jide hajataja jina LA mtu....karusha jiwe gizani tu sema bahari mbaya limempata mleta mada
napendaga mwandiko wakoHivi ndi ndi ndi inachezwaje.........?.....nataka kucheza.....
NB: Kuhusu kuweka neon wanaume wa DAR nimetania tu. mana muweka mada nae ameanza zake.
Muziki special kwa wajawazito wakiwa tumbo ndi ndi ndi. Je umeshapata kibendi?Hivi ndi ndi ndi inachezwaje.........?.....nataka kucheza.....
Dab ina faa pale ndi ndi ndi una dab kiainaHivi ndi ndi ndi inachezwaje.........?.....nataka kucheza.....
A JILTED WOMAN IS MORE DANGEROUS THAN A HUNGRY LIONView attachment 333427
Nijikite Madani.
Bila Shaka watu wengi humu tuna mkubali sana mwanamziki Huyu nguli wa miondoko ya r n b ndani ya bongofleva. Huyu Ni kati ya wasanii wakubwa waliofungua uhusiano mzuri wa kimziki baina ya Tanzania Na Afrika kusini ref; Njalo! Hata kuna video Jide aliwahi kufanya Kule bondeni, kufuatia harakati zake Leo hii wasanii wengi wakubwa wanaowika Miaka hii wanafuata Nyayo zake Na kujaribu kupanua wigo wao wa mashabiki barani Africa Na duniani Kwa ujumla kupitia mlango uliofunguliwa Na Jide huko SA.
Wote tunafahamu mahusiano Na Ndoa aliyopitia dada yetu Huyu kipenzi. Tunajua changamoto kubwa aliyokabili katika Ndoa Yake ambayo Kwa kiasi kikubwa ilikua inampact KUBWA tu kimafanikio Yake ya kimziki .
Ni Kweli huenda Shemeji yetu (G) amemkosea Mara nyingi dada yetu Ila Kwa maoni yangu Mimi bado Naona alikua Na mchango Mkubwa sana Kwa dada yetu( sijasema Jide hawezi kusimama kimziki bila G) Ila nafikiri haikua vema kumuimba mtaliki wake katika wimbo huo!
Ikumbukwe G alivumilia maneno mengi sana kuhusu hali ya Huyu dada yetu! Hata zaidi G mwenyewe sio mtu wa visasi Na majibizano! Amekua cool sana kuzungumzia mahusiano Na hali Yao ya mahusiano Yaani Kwa kifupi Jamaa ameonyesha Kifua cha kiume Na Heshima Kwa aliekua mkewake.
Jide anamashabiki wengi sana, Yaani hata angeimba chochote bado ngoma Yake Ingelizwa sana tu! Hata angetaka kuimba kipaji chake Kua kimejaa Ndindindi bado ingefaa tu. Ukiangalia umri wake Na jinsi amejijengea heshima Kwa mashabiki Na maadui zake ilifaa aonyeshe ukomavu Kwa ku'move on bila kuzungumzia lolote kuhusu Ndoa vunjifu!
Mwisho Kabisa ili tuendelee kukuheshimu Kama Sasa dada yetu kipenzi Tunaomba usizungumze lolote kuhusu G, wewe simama kivyako tu, sote tunajua uliyopitia ingawa kiundani zaidi unajua mwenyewe, Na huenda unaimba Ili kupunguza machungu Ila jikaze, kumbuka wewe Ni Komando! Muache brother aendelee tu Na Maisha Yake, Hebu ona hata Hakumzuia Dina kufanya interview Na wewe ingawa Na uhakika angetaka angezuia tu!
IMBA TUCHEZE!!