Lady Jaydee Haikufaa uimbe uliyoimba ndani ya Ndindindi

Heading na content ya habari ni tofauti kabisa.

Gardner hana ubavu wa kuzuia Jay Dee kuhojiwa kumbuka ugomvi wa Jide na Clouds unazipa chance station nyingine wapinzani wa Clouds
 
Heading na content ya habari ni tofauti kabisa.

Gardner hana ubavu wa kuzuia Jay Dee kuhojiwa kumbuka ugomvi wa Jide na Clouds unazipa chance station nyingine wapinzani wa Clouds
Sawa Bwana Mutahaba!
 
hizo nyimbo ulizoorodhesha ndizo zilizomtoa maisha ya jamii ni pamoja na yake
 
Uzuri wa sanaa ndio huo, kila mtu anaelewa kwa namna yake, ndio maana mpoto anasema ulivyoelewa ndiyo hivyo hivyo.
 
Hilo la kuchokonolewa mi simo
 
Kwan wanaume wa dar wana matatizo gani?
 
Wengine pia wameuelewa kivingine huo wimbo.
 
Ni wimbo mbovu na WA kijinga Sana. Eti ndi ndi ndi ...... Mentone umbeya tu Kwa Mume. Jide kaisha hana jipya.
 
Ndi ndi ndi imebamba ndindindi!
Wanaume kama mabinti lazima wauchukie.
 
Baada ya Gadna kusema amemnanilii kwa miaka nanilii bado unampa rating ile ile?
 
Baada ya Gadna kusema amemnanilii kwa miaka nanilii bado unampa rating ile ile?
Sijaona sehemu ametaja jina lake, kwahiyo sina uhakika gadna alikuwa anazungumzia mwanamke gani, usikute anazungumzia vimada wake wengine tutajuaje????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…