Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hizo nyimbo ulizoorodhesha ndizo zilizomtoa maisha ya jamii ni pamoja na yakeNikufahamishe tu kwenye muziki kuimba maisha yako sio jambo baya au geni na mastaa wengi huimba maisha yao.
Mifano :
Mariah Carey - my all, love takes time n.k aliimba mahusiano yake.
Aaliyah wimbo uliobeba album age ain't nothing but a number alilenga kuwazima mdomo waliokuwa wanasema mahusiano yake na R kelly.
Kwenye hip hop ndio kabisaa wakali huwa wanaimba maisha yao na in fact, ukijifanya kuimba maisha ya ghetto wkt umekulia getini lazima atatoka Mc kukuchana.
Huyo Jide hajaanza leo nyimbo kama Wanaume kama mabinti, siri yangu, siku hazigandi n. k zote zinamhusu.
😀😀😀Ahahahahhh. Rihanna anamaanishaka 'Work' 'work' work', ndio inayofanya usikie kama 'Kwak' 'kwak' 'kwak'
Kama ndombolo yasolo tuHivi ndi ndi ndi inachezwaje.........?.....nataka kucheza.....
😀😀😀😀 hivi huwa yana label?ma bwanyenye ya dar hayo utayajua tu.
Hilo la kuchokonolewa mi simoYani mimi Gadna nimempenda sana, yani si mwanaume wa Dar kabsaaaaaa, naomba Mungu aendelee kumpa hicho kifua, jide kuna kipindi alifunguka mengi, ila gadna aliishia kuwauliza mashabiki kama na yeye afunguke mana na yeye jide ana yake, Gadna ana makosa yake kama wanaume wengine wa DAR walivyo, ila na Jide kikawaida tu anaonekana kama mjeuri flani, ndio hivyo kila binadamu ana kasoro zake.
Ni vyema Jide akatafuta chakuimba sio kila siku kuimba wanaume wanaomuacha, Japo wapo watakaotetea na kusema ni nyimbo tu, si kweli jide mara nyingi akiwa na la rohoni analitungia nyimbo, Pamoja na yote bado tunampa heshima yake na tunampenda akaze buti. Gadna tunaomba hata uchokonolewe vipi iwe na jide au magazeti kuwa mpole tu huo ndio uwanaume.
MdebwedoKwan wanaume wa dar wana matatizo gani?
Utakua mchawi wewe sio bure.. Ficha aibu yakoNi wimbo mbovu na WA kijinga Sana. Eti ndi ndi ndi ...... Mentone umbeya tu Kwa Mume. Jide kaisha hana jipya.
Yani mimi Gadna nimempenda sana, yani si mwanaume wa Dar kabsaaaaaa, naomba Mungu aendelee kumpa hicho kifua, jide kuna kipindi alifunguka mengi, ila gadna aliishia kuwauliza mashabiki kama na yeye afunguke mana na yeye jide ana yake, Gadna ana makosa yake kama wanaume wengine wa DAR walivyo, ila na Jide kikawaida tu anaonekana kama mjeuri flani, ndio hivyo kila binadamu ana kasoro zake.
Ni vyema Jide akatafuta chakuimba sio kila siku kuimba wanaume wanaomuacha, Japo wapo watakaotetea na kusema ni nyimbo tu, si kweli jide mara nyingi akiwa na la rohoni analitungia nyimbo, Pamoja na yote bado tunampa heshima yake na tunampenda akaze buti. Gadna tunaomba hata uchokonolewe vipi iwe na jide au magazeti kuwa mpole tu huo ndio uwanaume.
Sijaona sehemu ametaja jina lake, kwahiyo sina uhakika gadna alikuwa anazungumzia mwanamke gani, usikute anazungumzia vimada wake wengine tutajuaje????Baada ya Gadna kusema amemnanilii kwa miaka nanilii bado unampa rating ile ile?