Lady Jaydee Haikufaa uimbe uliyoimba ndani ya Ndindindi

Mgibeon

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2011
Posts
11,308
Reaction score
21,507
ImageUploadedByJamiiForums1459325414.287458.jpg

Nijikite Madani.

Bila Shaka watu wengi humu tuna mkubali sana mwanamziki Huyu nguli wa miondoko ya r n b ndani ya bongofleva. Huyu Ni kati ya wasanii wakubwa waliofungua uhusiano mzuri wa kimziki baina ya Tanzania Na Afrika kusini ref; Njalo! Hata kuna video Jide aliwahi kufanya Kule bondeni, kufuatia harakati zake Leo hii wasanii wengi wakubwa wanaowika Miaka hii wanafuata Nyayo zake Na kujaribu kupanua wigo wao wa mashabiki barani Africa Na duniani Kwa ujumla kupitia mlango uliofunguliwa Na Jide huko SA.

Wote tunafahamu mahusiano Na Ndoa aliyopitia dada yetu Huyu kipenzi. Tunajua changamoto kubwa aliyokabili katika Ndoa Yake ambayo Kwa kiasi kikubwa ilikua inampact KUBWA tu kimafanikio Yake ya kimziki .

Ni Kweli huenda Shemeji yetu (G) amemkosea Mara nyingi dada yetu Ila Kwa maoni yangu Mimi bado Naona alikua Na mchango Mkubwa sana Kwa dada yetu( sijasema Jide hawezi kusimama kimziki bila G) Ila nafikiri haikua vema kumuimba mtaliki wake katika wimbo huo!

Ikumbukwe G alivumilia maneno mengi sana kuhusu hali ya Huyu dada yetu! Hata zaidi G mwenyewe sio mtu wa visasi Na majibizano! Amekua cool sana kuzungumzia mahusiano Na hali Yao ya mahusiano Yaani Kwa kifupi Jamaa ameonyesha Kifua cha kiume Na Heshima Kwa aliekua mkewake.

Jide anamashabiki wengi sana, Yaani hata angeimba chochote bado ngoma Yake Ingelizwa sana tu! Hata angetaka kuimba kipaji chake Kua kimejaa Ndindindi bado ingefaa tu. Ukiangalia umri wake Na jinsi amejijengea heshima Kwa mashabiki Na maadui zake ilifaa aonyeshe ukomavu Kwa ku'move on bila kuzungumzia lolote kuhusu Ndoa vunjifu!

Mwisho Kabisa ili tuendelee kukuheshimu Kama Sasa dada yetu kipenzi Tunaomba usizungumze lolote kuhusu G, wewe simama kivyako tu, sote tunajua uliyopitia ingawa kiundani zaidi unajua mwenyewe, Na huenda unaimba Ili kupunguza machungu Ila jikaze, kumbuka wewe Ni Komando! Muache brother aendelee tu Na Maisha Yake, Hebu ona hata Hakumzuia Dina kufanya interview Na wewe ingawa Na uhakika angetaka angezuia tu!

IMBA TUCHEZE!!
 
mwanangu unatumia nguvu nyingi kuponda kazi za wenzako, fanya wewe tuone
Kazi yangu sio Mziki ukitaka kuiona Ni PM uje uone hata ukitaka ajira nitakupa!
 
View attachment 333427

IMBA TUCHEZE!!!!!!

NB; Wanaume wa Tabora and the like nendeni kwenye majukwaa yenu ya kilimo, mifugo Na uvuvi, piteni Hivi tupite Hivi.
hahahaha jf kuna watu mna visa balaa
 
Mimi hata sijauelewa huo wimbo wa ndindindi ni kama ule wa Rihana na kwa kwa kwa kwa zake
Hivi hiyo 'ndi ndi ndi' ni nini? Isije kuwa matusi ya kiana halafu tunashabikia. Tumezoea kusia debe la madindi limejea ndi mpaka juu, sasa bi mdada alikuwa anamaanisha nini kwenye huu wimbo wake?
 
Mwishowe utaonekana mchawi. Ivi kuwaza kwetu kuna fanana!?!? Ulitaka ambie mawazo yako... Hebu Fanya yako bana .....fuatilia unacho penda... Kitu.. Ndi ndi ndiiiiii... Kiileeeeee... Majungu kwenu
 
Natamani sana kuusikiliza huu wimbo.
mbona upo youtube kibao umejaa? Lakini mie sijaona kama kamuimba G, bali anaimba mambo yaliyomtokea maishani lkn amesimama imara na life goes on.

Kupitia yeye pia ni vema kujua kuwa, mapito ya Jide huwapata wengi hivyo amewaimbia na wao ili wasimame wasahau yaliyopita waendeleee na kazi za kutafta maisha.
 
View attachment 333427

Nijikite Madani.

Bila Shaka watu wengi humu tuna mkubali sana mwanamziki Huyu nguli wa miondoko ya r n b ndani ya bongofleva. Huyu Ni kati ya wasanii wakubwa waliofungua uhusiano mzuri wa kimziki baina ya Tanzania Na Afrika kusini ref; Njalo! Hata kuna video Jide aliwahi kufanya Kule bondeni, kufuatia harakati zake Leo hii wasanii wengi wakubwa wanaowika Miaka hii wanafuata Nyayo zake Na kujaribu kupanua wigo wao wa mashabiki barani Africa Na duniani Kwa ujumla kupitia mlango uliofunguliwa Na Jide huko SA.

Wote tunafahamu mahusiano Na Ndoa aliyopitia dada yetu Huyu kipenzi. Tunajua changamoto kubwa aliyokabili katika Ndoa Yake ambayo Kwa kiasi kikubwa ilikua inampact KUBWA tu kimafanikio Yake ya kimziki .

Ni Kweli huenda Shemeji yetu (G) amemkosea Mara nyingi dada yetu Ila Kwa maoni yangu Mimi bado Naona alikua Na mchango Mkubwa sana Kwa dada yetu( sijasema Jide hawezi kusimama kimziki bila G) Ila nafikiri haikua vema kumuimba mtaliki wake katika wimbo huo!

Ikumbukwe G alivumilia maneno mengi sana kuhusu hali ya Huyu dada yetu! Hata zaidi G mwenyewe sio mtu wa visasi Na majibizano! Amekua cool sana kuzungumzia mahusiano Na hali Yao ya mahusiano Yaani Kwa kifupi Jamaa ameonyesha Kifua cha kiume Na Heshima Kwa aliekua mkewake.

Jide anamashabiki wengi sana, Yaani hata angeimba chochote bado ngoma Yake Ingelizwa sana tu! Hata angetaka kuimba kipaji chake Kua kimejaa Ndindindi bado ingefaa tu. Ukiangalia umri wake Na jinsi amejijengea heshima Kwa mashabiki Na maadui zake ilifaa aonyeshe ukomavu Kwa ku'move on bila kuzungumzia lolote kuhusu Ndoa vunjifu!

Mwisho Kabisa ili tuendelee kukuheshimu Kama Sasa dada yetu kipenzi Tunaomba usizungumze lolote kuhusu G, wewe simama kivyako tu, sote tunajua uliyopitia ingawa kiundani zaidi unajua mwenyewe, Na huenda unaimba Ili kupunguza machungu Ila jikaze, kumbuka wewe Ni Komando! Muache brother aendelee tu Na Maisha Yake, Hebu ona hata Hakumzuia Dina kufanya interview Na wewe ingawa Na uhakika angetaka angezuia tu!

IMBA TUCHEZE!!!!!!

NB; Wanaume wa Tabora and the like nendeni kwenye majukwaa yenu ya kilimo, mifugo Na uvuvi, piteni Hivi tupite Hivi.
Hah ah a ha ha ha ah ah HUNA MAANA , Ni mchokozi mno sasa NB Ya nini nimechaka sana.
 
Yani mimi Gadna nimempenda sana, yani si mwanaume wa Dar kabsaaaaaa, naomba Mungu aendelee kumpa hicho kifua, jide kuna kipindi alifunguka mengi, ila gadna aliishia kuwauliza mashabiki kama na yeye afunguke mana na yeye jide ana yake, Gadna ana makosa yake kama wanaume wengine wa DAR walivyo, ila na Jide kikawaida tu anaonekana kama mjeuri flani, ndio hivyo kila binadamu ana kasoro zake.

Ni vyema Jide akatafuta chakuimba sio kila siku kuimba wanaume wanaomuacha, Japo wapo watakaotetea na kusema ni nyimbo tu, si kweli jide mara nyingi akiwa na la rohoni analitungia nyimbo, Pamoja na yote bado tunampa heshima yake na tunampenda akaze buti. Gadna tunaomba hata uchokonolewe vipi iwe na jide au magazeti kuwa mpole tu huo ndio uwanaume.
 
NB: Kuhusu kuweka neon wanaume wa DAR nimetania tu. mana muweka mada nae ameanza zake.
 
Nikufahamishe tu kwenye muziki kuimba maisha yako sio jambo baya au geni na mastaa wengi huimba maisha yao.

Mifano :
Mariah Carey - my all, love takes time n.k aliimba mahusiano yake.

Aaliyah wimbo uliobeba album age ain't nothing but a number alilenga kuwazima mdomo waliokuwa wanasema mahusiano yake na R kelly.

Kwenye hip hop ndio kabisaa wakali huwa wanaimba maisha yao na in fact, ukijifanya kuimba maisha ya ghetto wkt umekulia getini lazima atatoka Mc kukuchana.

Huyo Jide hajaanza leo nyimbo kama Wanaume kama mabinti, siri yangu, siku hazigandi n. k zote zinamhusu.
 
Yani mimi Gadna nimempenda sana, yani si mwanaume wa Dar kabsaaaaaa, naomba Mungu aendelee kumpa hicho kifua, jide kuna kipindi alifunguka mengi, ila gadna aliishia kuwauliza mashabiki kama na yeye afunguke mana na yeye jide ana yake, Gadna ana makosa yake kama wanaume wengine wa DAR walivyo, ila na Jide kikawaida tu anaonekana kama mjeuri flani, ndio hivyo kila binadamu ana kasoro zake, ni vyema Jide akatafuta chakuimba sio kila siku kuimba wanaume wanaomuacha, Japo wapo watakaotetea na kusema ni nyimbo tu, si kweli jide mara nyingi akiwa na la rohoni analitungia nyimbo, Pamoja na yote bado tunampa heshima yake na tunampenda akaze buti. Gadna tunaomba hata uchokonolewe vipi iwe na jide au magazeti kuwa mpole tu huo ndio uwanaume.
Asante! Binafsi nawakubali wote wawili.
 
Back
Top Bottom