Wimbo unaitwaje? Hebu weka nyama kwenye mada yako maana najua jide ana wimbo na mdada wa kenya kama sijakosea na una video..
Hakika sijawai kusikia wimbo kama huo!Mkuu nimeusikiliza tu kwenye redio leo hii, hawakusema unaitwaje, ila obvious siyo huo wa mdada wa kenya, coz kwa mtu aliyefuatilia sakata la ndoa yao ukiusikia tu unajua moja kwa moja anamsema Gadner, hasa madai kwamba jamaa alikuwa anatusua vimwana balaa na kuwajaza mimba
Jide ana shida kubwa sana tena sana!Huo ni wimbo gani wa Jide, ka bado anamuimba gadna basi ujue kamu miss ex_ wake huyo.
Huwa nashangaa wasanii wabongo wameachana still ana mwimba mwenzangu. Hawajui maana ya Ku move on.
Jide ana shida kubwa sana tena sana!
Ila sijapenda alivyomsema jamaa, kaonyesha utoto na kisasi. Kwangu mimi naona wimbo wenyewe ni dhahiri kautunga mahususi kumsema jamaa, manake hauna ule ubora wa nyimbo zake nilizozizoea, i don't see professionalism in this song zaidi ya vichambo
Gadna alikua ana msaidia sana kwenye mambo yake mengi, tu Jide anaonyesha ni mbabe flani hivi asiye shaurika. Atamkumba tu GadnaJide ana shida kubwa sana tena sana!
Ndo ubabe wenyewe huo na kisasi mbona tangu wameachana Gadna ame mind bussness zangu.Ila sijapenda alivyomsema jamaa, kaonyesha utoto na kisasi. Kwangu mimi naona wimbo wenyewe ni dhahiri kautunga mahususi kumsema jamaa, manake hauna ule ubora wa nyimbo zake nilizozizoea, i don't see professionalism in this song zaidi ya vichambo
Pamoja na madhaifu ya G lakini alikuwa ana mchango mkubwa sana kwenye muziki wa Jide!Gadna alikua ana msaidia sana kwenye mambo yake mengi, tu Jide anaonyesha ni mbabe flani hivi asiye shaurika. Atamkumba tu Gadna
Rara ya ndoa watt sa km hukujaaliwa wenzio watapepeta
Na sidhani ka Jide alikua that perfect ukute aliyokua anafanya Gadna na Jide naye alikua anafanya kisiri mana inaonyesha ni silent killer.Pamoja na madhaifu ya G lakini alikuwa ana mchango mkubwa sana kwenye muziki wa Jide!
Jide kaporomoka sana kimziki baada ya kuachana na G!
Yani sasa hivi utafikiri afanyi muziki kabisa na wala haeleweki kabisa!
Nilikuwa nasikiliza hapa sasa hivi wimbo wa Lady Jaydee Bongo radio, nahisi ni wimbo wake mpya, unless niko nyuma ya wakati. Huu wimbo ni full vichambo kwa aliyekuwa mumewe Gadner, manake anavyoelezea jamaa alivyobize kujaza vimwana mimba huku yeye Lady Jaydee akidhani ni wake peke yake, kumbe anatunzia wengine loh!!
Mwenye huu wimbo tafadhali naomba aniwekee hapa niusikilize tena kwa makini, manake nilishikwa na butwaa sana nilivyousikiliza kwa mara yangu ya kwanza bongo radio.
CC atoto, Heaven on Earth, Diva Beyonce, data, Mokoyo, Matola, Dinazarde na wengine plz
Uandisha huo huwa una kera sana..Mkuu, mbona umeandika mcharazo mana pamoja na kununua miwani mpya ili nisome ulichoandika nimeshindwa kabisa kusoma......
Wewe utakua "daktari" mtoto....
Nimeanza kuutafuta sema jina ndio tatizo ngoja niende mkitoMkuu ukiupata tafadhali tuwekee hapa kwa kutumention kabisa ili tuje fasta