Lady Jaydee, huu wimbo wako vipi?


wewe utakua unazungumzia wimbo wake na Avril ambao alioshatamka kwamba yeye ameandikiwa mashairi na Avril na kupewa tu aimbe haku husika na uandishi wa lyrics..kitendo cha kumuhusisha kila ngoma na madongo kwa G sidhani kama ni busara!

Mkuu inawezekana unachosema ni kweli, mi nimetoa mtazamo wangu kwa nia nzuri tu. Unaweza kutuwekea hapa kama unao?
 
Inawezekana kabisa nami naamini naye hakuwa mkamilifu kwenye hayo sema kwakuwa amekuwa wa kwanza kusema hivyo G lazima aonekane ndio mbaya zaidi!
Yule mwanamke ni mkorofi sana...
 
kwani jide ana mapenzi kama ya diamondi na wema fully kuigiza? Jide mkubwa bwana hakiacha ndio nitolee, kama anamuimba roho inamuuma.
 
Kuna kiumbe mmoja allitaka tuzo za Vanessa apewe Jide, bado ana maruweruwe ya Jide wa zamani.
 
Kwa hiyo woote humu m naocomment kwamba ni kweli mnaingia ktk hisia za mtoa uzi huu. Tena hisia hakuna uhakika wala mwenye wazo tofauti. Pengine mtoa uzi kazoea kuishi kwa kuhisi na wooooteee mnamfuata wabongo jiongezeni. Kuachana kwa garner na jide umesikia wapi au taarifa gani rasmi kwamba gadner nawapa tena wasichana mimba??. Zaidi ya wao kuachana na hakuna aliejitokeza kusema sbb?. Kisa jide hazai mnamtafutia sbb na nyimbo zake acheni Tabia za kuhisi muda mwingi hua sio za kweli.
 
Tatizo ni moja tu ninaliliona hapa..!!

Wewe mleta mada na wengine wanaokusapoti, unayajua maisha ya LadyJd, Umekuwa Mwathirika wa Maisha ya LadyJd kiasi chochote anachokifanya, anachokiimba kwako ni habari..!! Lakini mimi naweza kukusaidia litu kimoja...

Mind your own business.., Msikilize Jd kama unavyowasikiliza wasanii wengine, Sikiliza nyimbo zake huku ukilenga kupata Burudani au Elimu, Suala la Maisha yake mwachie mwenyewe, maadam hajawahi kuja kupiga hodi kwako kuomba msaada wowote.. Fuatilia maisha yako.. Ukiona unataka kuondoa Stress kwa kusikiliza nyimbo za Jd, then, Maisha yake weka Kapuni. Pata burudani, pata Ujumbe, ukihusianisha na Maisha anayoishi utapata Stress zaidi.Haitakusaudia lolote zaidi ya kukuongezea stress kama ninazoziana hapa.

Iwe hivyo kwa msanii yeyote hata wa Maigizo. Kama unayajua maisha yake, usihusianishe na kile alichokiigiza, itakusumbua, itakuumiza. Siku moja utakuja kuanzisha uzi hapa Jukwaani kulaani kutukanwa na msanii kwenye Nyimbo/ Igizo fulani. kumbe yeye kaigiza au kuimba kutokana na vile mtuzi alivyotunga. Utasumbuka sana ndugu yangu mito na haitakusaidia lolote zaidi ya kukumiza.

Nadhani nimeleeleweka mkuu, samahani kwa Gazeti hili. Kikubwa, Mind your own Business!

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:

mbona umemaindi sana.
 
Last edited by a moderator:
Huo wimbo ni wa kitambo sn unaitwa sio wangu mm...sidhan sn km alimlenga gadna coz aliimba wakiwa wote...kuna mistar km sio wangu mm bali wa dar es salam kila bint mjin ye amempa mimba akipita kona watoto humwita babaaa nilidhan wangu kumbe wa dar es salam..wa kitambo sn
 

Mmh mkuu nitake radhi kwa kweli
 

Mkuu hebu tuwekee hapa kama unao, usikute ni huo kweli
 

Mkuu mi nimetoa mtazamo wangu tu, na wewe umetoa mtazamo wako, hakuna ubaya coz binadamu tuna mitazamo tofauti
 
Binamu warumi za siku? kwema????
 
Last edited by a moderator:
hivi sasa hivi anafanya nini, 24/7 yupo insta anapost misosi tuuu, stress zake zoote anazicover na kula, alafu dizain kama amechanganyikiwa hivi?? maanake anaandika vitu vya ajabu ajabuuu!!! vijembe jembe vya kishambaaaa shambaaaa!!!! eti anajiita bigwa wa kujihami, hakika huyu dada need to see a psychologist she truly need counselling for Godseek, TZ bila ukimwi inawezekana but jide bila gardner haiwezekani.
 

Umepoteza muda wako bure kucoment mwisho wa siku poor youuu
 
Inawezekana kabisa nami naamini naye hakuwa mkamilifu kwenye hayo sema kwakuwa amekuwa wa kwanza kusema hivyo G lazima aonekane ndio mbaya zaidi!
Yule mwanamke ni mkorofi sana...
Umewai kuishi nae au kukaa naye jirani.?
 

Duuhh! Nna wasiwasi kama sio jide huyu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…