tatizo ni moja tu ninaliliona hapa..!!
Wewe mleta mada na wengine wanaokusapoti, unayajua maisha ya ladyjd, umekuwa mwathirika wa maisha ya ladyjd kiasi chochote anachokifanya, anachokiimba kwako ni habari..!! Lakini mimi naweza kukusaidia litu kimoja...
Mind your own business.., msikilize jd kama unavyowasikiliza wasanii wengine, sikiliza nyimbo zake huku ukilenga kupata burudani au elimu, suala la maisha yake mwachie mwenyewe, maadam hajawahi kuja kupiga hodi kwako kuomba msaada wowote.. Fuatilia maisha yako.. Ukiona unataka kuondoa stress kwa kusikiliza nyimbo za jd, then, maisha yake weka kapuni. Pata burudani, pata ujumbe, ukihusianisha na maisha anayoishi utapata stress zaidi.haitakusaudia lolote zaidi ya kukuongezea stress kama ninazoziana hapa.
Iwe hivyo kwa msanii yeyote hata wa maigizo. Kama unayajua maisha yake, usihusianishe na kile alichokiigiza, itakusumbua, itakuumiza. Siku moja utakuja kuanzisha uzi hapa jukwaani kulaani kutukanwa na msanii kwenye nyimbo/ igizo fulani. Kumbe yeye kaigiza au kuimba kutokana na vile mtuzi alivyotunga. Utasumbuka sana ndugu yangu
mito na haitakusaidia lolote zaidi ya kukumiza.
Nadhani nimeleeleweka mkuu, samahani kwa gazeti hili. Kikubwa,
mind your own business!
back tanganyika