Lady Jaydee kufungua mgahawa mpya

Lady Jaydee kufungua mgahawa mpya

Kwahiy bidada miaka 20 kwenye game anamiliki mgahawa tuu au kuna uwekezaji mwingine amefanya
 
Ngoma droona Shilole, wote waimbaji na wanauza misosi.
 
Mwanamuziki mwenye swaga za aina yake kutoka kwenye kiwanda cha bongo flavor , Lady jaydee , ametangaza rasmi Ujio wa mgahawa wake mpya( BBQ n chill) ambao ataufungua masaki around May this year.

Ikumbukwe lady jaydee alishawah kumiliki mgahawa matata sana (Nyumbani lounge) ambao ulifanya vizur kwa miaka kadhaa na baadae akaamua kuufunga. Hongera sana dada mkuu, hiko kitakuwa kijiwe chetu kipya cha kudangia, masaki tena ,,warumi mie nijiandae[emoji23][emoji23]View attachment 1739732
Asiuze pombe, uwe wa kilokole sana
 
Alipewa zuio kwasababu ya makazi ya watu anawapigia kelele sasa sijui alihamisha au alifanya utaratibu gani
Kisheria bar inatakiwa ikae wapi maana kilasehemu makazi ya watu na hayo makazi ndio wateja
 
Yani kanajiona sijui nani na kalivyo kakavu sijui sababu ya roho mbaya. mtu ameshindwana na kila mtu kwake mbaya kana matatizo sana haka kabibi

Sisi psychologists tunalielewa tatizo lake.

Wanawake wa umri wake ambao hawajapata bahati ya kuwa na watoto wanabehave namna ile au zaidi.
 
Mwanamuziki mwenye swaga za aina yake kutoka kwenye kiwanda cha bongo flavor , Lady jaydee , ametangaza rasmi Ujio wa mgahawa wake mpya( BBQ n chill) ambao ataufungua masaki around May this year.

Ikumbukwe lady jaydee alishawah kumiliki mgahawa matata sana (Nyumbani lounge) ambao ulifanya vizur kwa miaka kadhaa na baadae akaamua kuufunga. Hongera sana dada mkuu, hiko kitakuwa kijiwe chetu kipya cha kudangia, masaki tena ,,warumi mie nijiandae[emoji23][emoji23]View attachment 1739732
Nakumbuka aliwahi kujiandalia jeneza sijui bado analo?
 
Back
Top Bottom