saleni
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 1,880
- 2,843
Mwanamke mwenzetu yule, stress, za kukosa watoto.Yani kanajiona sijui nani na kalivyo kakavu sijui sababu ya roho mbaya. mtu ameshindwana na kila mtu kwake mbaya kana matatizo sana haka kabibi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanamke mwenzetu yule, stress, za kukosa watoto.Yani kanajiona sijui nani na kalivyo kakavu sijui sababu ya roho mbaya. mtu ameshindwana na kila mtu kwake mbaya kana matatizo sana haka kabibi
Alipewa zuio kwasababu ya makazi ya watu anawapigia kelele sasa sijui alihamisha au alifanya utaratibu ganiHivi ile Bar na lounge ya Ant Ezekiel pale Mikocheni bado inaendelea?
Asiuze pombe, uwe wa kilokole sanaMwanamuziki mwenye swaga za aina yake kutoka kwenye kiwanda cha bongo flavor , Lady jaydee , ametangaza rasmi Ujio wa mgahawa wake mpya( BBQ n chill) ambao ataufungua masaki around May this year.
Ikumbukwe lady jaydee alishawah kumiliki mgahawa matata sana (Nyumbani lounge) ambao ulifanya vizur kwa miaka kadhaa na baadae akaamua kuufunga. Hongera sana dada mkuu, hiko kitakuwa kijiwe chetu kipya cha kudangia, masaki tena ,,warumi mie nijiandae[emoji23][emoji23]View attachment 1739732
Kisheria bar inatakiwa ikae wapi maana kilasehemu makazi ya watu na hayo makazi ndio watejaAlipewa zuio kwasababu ya makazi ya watu anawapigia kelele sasa sijui alihamisha au alifanya utaratibu gani
Shishi food ipowapiNgoma droona Shilole, wote waimbaji na wanauza misosi.
Usisahau mwanamikakati wa JPM amekuwa makamu....Awamu hii ya 6 atapiga pesa maana fedha kuanzia April mwishoni itaanza kuonekana mtaani.
👍Warumi ndani ya nyumba [emoji91][emoji91]
Awamu hii ya 6 atapiga pesa maana fedha kuanzia April mwishoni itaanza kuonekana mtaani.
Yani kanajiona sijui nani na kalivyo kakavu sijui sababu ya roho mbaya. mtu ameshindwana na kila mtu kwake mbaya kana matatizo sana haka kabibi
Lini nikatafute mijimama yakunileaWarumi ndani ya nyumba [emoji91][emoji91]
Nakumbuka aliwahi kujiandalia jeneza sijui bado analo?Mwanamuziki mwenye swaga za aina yake kutoka kwenye kiwanda cha bongo flavor , Lady jaydee , ametangaza rasmi Ujio wa mgahawa wake mpya( BBQ n chill) ambao ataufungua masaki around May this year.