Lady Jaydee kufungua mgahawa mpya

Hivi ile Bar na lounge ya Ant Ezekiel pale Mikocheni bado inaendelea?
 
Kwahiy bidada miaka 20 kwenye game anamiliki mgahawa tuu au kuna uwekezaji mwingine amefanya
 
Ngoma droona Shilole, wote waimbaji na wanauza misosi.
 
Asiuze pombe, uwe wa kilokole sana
 
Alipewa zuio kwasababu ya makazi ya watu anawapigia kelele sasa sijui alihamisha au alifanya utaratibu gani
Kisheria bar inatakiwa ikae wapi maana kilasehemu makazi ya watu na hayo makazi ndio wateja
 
Yani kanajiona sijui nani na kalivyo kakavu sijui sababu ya roho mbaya. mtu ameshindwana na kila mtu kwake mbaya kana matatizo sana haka kabibi

Sisi psychologists tunalielewa tatizo lake.

Wanawake wa umri wake ambao hawajapata bahati ya kuwa na watoto wanabehave namna ile au zaidi.
 
Nakumbuka aliwahi kujiandalia jeneza sijui bado analo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…