Lady Jaydee kwenda kutambulishwa ukweni Nigeria mwezi April

Aombe sana Mungu amtangulie katika safari yake maana hao watu mara bokoharamu, utapeli, u tb Joshua, u nini mara unini!!
 
Ni muda ndio utakaosema juu ya huu uhusiano
 
all the best although I dont trust Igwes, most of them are celebrated spivs
 
International trade, sijui kwa nini nimekumbuka hii lecture tangu mwaka 2010
 
bado bado
Nyie nao kiboko aisei..! Mnaingiliwa na kila mijoka, mara kobra, black mamba, kifutu, anakonda na michatu kazi hiyo mitaro mwisho itakuwa mabonde sasa![emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
isije kuwa karuka mkojo kakanyaga ma..vi!!!
aende taratibu tu.
 
Nyie nao kiboko aisei..! Mnaingiliwa na kila mijoka, mara kobra, black mamba, kifutu, anakonda na michatu kazi hiyo mitaro mwisho itakuwa mabonde sasa![emoji85] [emoji85] [emoji85]
Nyie nao kiboko aisei..! Mnaingiliwa na kila mijoka, mara kobra, black mamba, kifutu, anakonda na michatu kazi hiyo mitaro mwisho itakuwa mabonde sasa![emoji85] [emoji85] [emoji85]
Kwani si ni wanaume kama wewe?

Meaning that na nyie mnaingiaga mitaro yote.
 
Back
Top Bottom