Lady Jaydee kwenda kutambulishwa ukweni Nigeria mwezi April

Lady Jaydee kwenda kutambulishwa ukweni Nigeria mwezi April

Ni comedy kama comedy zingine tu.
Mwanamke ni mwanamke tu, wengi hulewa umaarufu
 
Ataanza kuimba ule wimbo uliomtoa wa nachozi soon
 
Anaenda kwa wakwe njaa ingekuwa ni Kule kwetu anarudishwa na panga LA mgongoni na Dada zetu
 
Yule jamaa atakua wa anambra state ajiangalie ao jamaa wapiga dili kishenzi aone yaliowakuta wenzie kina tiwasavage
 
Nigeria wengi ni matapeli ajiangalie asije kujutia, ni ushauri tu
 
Nimeshaoa siitaji mke tena. unaweza kuwa mke mdogo siunajua changamoto zake lakini??
Ushauri kutoka Kwa janjaweed

Achana na Maisha ya wanawake hata kama ni mashoga zako

This thread is three years old, but you had to revive it out of malice
 
Back
Top Bottom