Lady Jaydee kwenda kutambulishwa ukweni Nigeria mwezi April

Lady Jaydee kwenda kutambulishwa ukweni Nigeria mwezi April

Sababu mpo wengi,uwe unakumbusha kumbusha namba yako niliyokupa.

Huwa ninasahau ujue
Siwezi kukimbia. Nlishakuambiaga, mapenzi yetu ni wewe ndo utakayeniacha...

Dalili zimeanza kuonekana...
 
[emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102]
 
Kwani wanaigeria wana shida gani, mwacheni afanye roho yake inachopenda. Ebu teuelezeni huo uzuri na utakatifu walionao wanaume wa Kitanzania katika familia zaidi ya hao wanaigeria? Tusi generalized mambo, kuna individual cases.
 
Aaa babu bila visa maisha hayaendi,si unaona jay dee kaamua kuwafata wanaija walee tunaowaona kwenye video na vituko vyao
Kuna maneno yanasambaa kitaa kuwa wanaija wana miguu mitatu, mmoja kilema. Dada yetu asipokuwa makini atasogezwa kizazi (kama anacho)
 
Hee makubwa. Natumain binti machozi ni komandoo kweli hadi anga zile
Kuna maneno yanasambaa kitaa kuwa wanaija wana miguu mitatu, mmoja kilema. Dada yetu asipokuwa makini atasogezwa kizazi (kama anacho)
 
masikini dada wa watu sijui kanyonywa wapi hadi akili haifanyi kazi ,wa Nigeria ni matapeli hatari lazima alizwe Time will tell
Dhambi yakulipa kisasi haitamuacha, time will tell..
 
Back
Top Bottom