Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,321
- 18,574
Wabongo nao matapeli tu uwezi kumjua mwema kwa harakamasikini dada wa watu sijui kanyonywa wapi hadi akili haifanyi kazi ,wa Nigeria ni matapeli hatari lazima alizwe Time will tell
uongo?Khaaa....!!!
Sijasema kitu...uongo?
Tusubiri tu. Wazuri wapo lakini matepeli ndiyo wengi.Kwamba wanigeria woooote Hanna mzuri?
Ni aibu na fedhea kwa dada mtu mzima mwenye umri km wa Jay D kudanganywa ma gigolo dizain ya Spice.....Anaenda kutambulishwa ukweni kwa wazazi wa Spice ambaye ni mpenzi wake mpya
Unawashwa wewe
Unawashwa wewe
Ushauri kutoka Kwa janjaweedNimeshaoa siitaji mke tena. unaweza kuwa mke mdogo siunajua changamoto zake lakini??