warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Baraza la sanaa Tanzania(basata) wametangaza majina ya wasanii walioteuliwa kuwania tuzo za kill music award katika vipengele 34, lakini kikubwa ni jinsi wasanii Diamond na Lady jaydee walivyochomoza kwenye category kibao, diamond amekuwa nominated kwenye category saba ambazo ni wimbo bora wa mwaka(number one),wimbo bora wa afro pop(number one),muimbaji bora wa kizazi kipya, mtunzi bora kizazi kipya,video bora ya mwaka(number one) na wimbo bora wa kushirikiana(muziki gani ) kwa upande wa lady jaydee yeye ame appear kwenye category za wimbo bora wa mwaka(joto hasira), wimbo bora wa afro pop(joto hasira), wimbo bora wa zouk(Yahaya),mwimbaji bora wa kike bongo fleva,video bora ya mwaka(Yahaya n joto hasira), wimbo bora wa kushirikiana(joto hasira).