Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajhhahhha uwiiiii hutaki kupitwaa ni mwana FA
Kuna mtu nimemchamba kuhusu hilo suala alikuwa anadai nimetoa team ukweli na uwazi, nikamwambia akienda na kukuta story ya lulu Mimi jukwaa la celebrity basi , siwez mimi warumi kukaukiwa na habari kiasi cha kukopi kwa team, haswa haswa nikikuta ya kule nitaongelea tu humu na sio kufungua thread kwa habari za team ukweli, nenda uko ukiikuta hii naama jukwaa.
Huo uji haupo kule binamu hasa kwa huyo team ukweli na uwazi nilienda kuangalia umbea mpya lakini hamna hata huyo team ukweli na uwazi kwanza kashushuliwa kwa kusema uwongo hata haaminiki ana beef tu na inajulikana wazi kuwa ni team Pili Hassan a.k.a Penseli
Anaconda ni bad news Warumi
Hasira za mkisi furaha ya mvuvi... bifu la clouds linazidi kumpaisha Jide
Sio bifu ya cloudz imempaisha but ana deserve kuwa place aliyopo sababu anajituma
mkuu naomba nikumbushe nani kaimba wimbo huo?"wanakubali kiaina"Safi jide wanamkubali kiaina
Nashauri tu na ndomo nae angemfanya wema manager wake may be angekuwa successful kama jide, ila bahat mbaya wamekutana wote mandonya, napenda sana couple ya jide na gadner , hawana ujinga wale kazi mbele, sio akina ndomo kutwa kurusha roho watu instagram Sijui wanapata faida gani
Sometimes ila mtu unatakiwa uangalie relationship unayo kua nayo ina impact gani, mond anapenda scandal ndio maana Hata kamuweka penseli kapuni. I like jidegadner couple na as a woman naweza jifunza kupitia jide kua mpambanaji na sio kuna cheap gal kuishi kupitia wahisani. I LOVE LADY JAYDEE
Anaconda juu,hata juzi tumechat nkakwambia hawana ujanja lazima wakuweke tu
sasa unataka kutuarifu kua umechat nae au haya hongera kwa kuchat na supastaa
Hahhhhahhhhahhha
sasa unataka kutuarifu kua umechat nae au haya hongera kwa kuchat na supastaa
Roger that
mkuu naomba nikumbushe nani kaimba wimbo huo?"wanakubali kiaina"