Lady jaydee na Diamond wang'ara kili music awards.

Lady jaydee na Diamond wang'ara kili music awards.

Binamu nakwambiaga kila siku Mimi nikileta udaku humu ni wa kweli yaan ni confirmed, uwa sibahatishi, umeona wapi aiseeh?

Aiseeee hebu imwagee sie tuichambuee
 
Nimesha uwahi binamu ngoja niende instagram sasa naweza nikapata viungo vya huo uji.

Kuna mtu nimemchamba kuhusu hilo suala alikuwa anadai nimetoa team ukweli na uwazi, nikamwambia akienda na kukuta story ya lulu Mimi jukwaa la celebrity basi , siwez mimi warumi kukaukiwa na habari kiasi cha kukopi kwa team, haswa haswa nikikuta ya kule nitaongelea tu humu na sio kufungua thread kwa habari za team ukweli, nenda uko ukiikuta hii naama jukwaa.
 
Last edited by a moderator:
Nimesha uwahi binamu ngoja niende instagram sasa naweza nikapata viungo vya huo uji.

Chochote utakachokikuta usisite kutoa ushuhuda, maan kuna watu wananitegemea humu wakiona na copy copy from no where it won't sound good binamu na sio team ukweli tu yaani ukiikuta popote binamu jukwaa ntaliama .
 
Baraza la sanaa Tanzania(basata) wametangaza majina ya wasanii walioteuliwa kuwania tuzo za kill music award katika vipengele 34, lakini kikubwa ni jinsi wasanii Diamond na Lady jaydee walivyochomoza kwenye category kibao, diamond amekuwa nominated kwenye category saba ambazo ni wimbo bora wa mwaka(number one),wimbo bora wa afro pop(number one),muimbaji bora wa kizazi kipya, mtunzi bora kizazi kipya,video bora ya mwaka(number one) na wimbo bora wa kushirikiana(muziki gani ) kwa upande wa lady jaydee yeye ame appear kwenye category za wimbo bora wa mwaka(joto hasira), wimbo bora wa afro pop(joto hasira), wimbo bora wa zouk(Yahaya),mwimbaji bora wa kike bongo fleva,video bora ya mwaka(Yahaya n joto hasira), wimbo bora wa kushirikiana(joto hasira).

lady jay dee akabidhi kijiti quoted ruge mutahaba
 
Back
Top Bottom