Lady jaydee na Diamond wang'ara kili music awards.


Huo uji haupo kule binamu hasa kwa huyo team ukweli na uwazi nilienda kuangalia umbea mpya lakini hamna hata huyo team ukweli na uwazi kwanza kashushuliwa kwa kusema uwongo hata haaminiki ana beef tu na inajulikana wazi kuwa ni team Pili Hassan a.k.a Penseli
 
Last edited by a moderator:

Duh basi ni Nouma, ila hii ishu ya mwami na patcho hadi shigongo kaitoa kwenye gazeti lake
 
Sio bifu ya cloudz imempaisha but ana deserve kuwa place aliyopo sababu anajituma

Nashauri tu na ndomo nae angemfanya wema manager wake may be angekuwa successful kama jide, ila bahat mbaya wamekutana wote mandonya, napenda sana couple ya jide na gadner , hawana ujinga wale kazi mbele, sio akina ndomo kutwa kurusha roho watu instagram Sijui wanapata faida gani
 
Jide bifu za kimziki ndo inambeba,ila kwa msanii bora na video bora huwezi kumfananisha na Diamond
 

Sometimes ila mtu unatakiwa uangalie relationship unayo kua nayo ina impact gani, mond anapenda scandal ndio maana Hata kamuweka penseli kapuni. I like jidegadner couple na as a woman naweza jifunza kupitia jide kua mpambanaji na sio kuna cheap gal kuishi kupitia wahisani. I LOVE LADY JAYDEE
 
Video bora lazima itoke kweny studio ya nisher
 

I love you commando jide una kila sababu ya kupendwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…