Lady JayDee na jini mahaba!

Septemba11

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
620
Reaction score
532
Kweli dunia ina mambo na vimbwaga vyake!

Leo j2 katika kpndi ya diary ya lady jay dee knachorushwa na kituo cha eatv kaelezea jinsi gani anavyosumbuliwa na ndoto za usiku pamoja na jini mahaba ambalo hufanya nalo mapenzi mara kwa mara hvyo kaweza kupatiwa tiba, so wenye matatizo km hayo wanaweza muona jay dee kwa maelezo zaid!

Wakenya wanasemaje?

 

Attachments

  • maoni-wakenya.jpg
    44.7 KB · Views: 3,958
Eti umesemaaaa?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Haaaaaaa!, kwa hiyo jini limeshamula Jide?, nasikia wale wadudu wana mindonga ya kufa mtu halafu wanapenda sana ule mtandao, sipati picha Jide yani, teh ,teh.
 
Kwa hiyo ule wimbo wa mtarimbo umelala doro alikuwa anampiga kijembe Gardner? Maana nasikia mtu akiwa anagegedwa na jini mahaba, mumewe lazima mpini wake upigwe paralyze r

hapo umenifurahisha kama ina ukweli ndani yake
 
Kwa hiyo ule wimbo wa mtarimbo umelala doro alikuwa anampiga kijembe Gardner? Maana nasikia mtu akiwa anagegedwa na jini mahaba, mumewe lazima mpini wake upigwe paralyze r

ha ha haaaa, anafaidi BIG LIBOLO la jini.
 
Jamani dada wa watu sio bure ndiomaana amekaukiana kau amebaki mfupa na ngozi kumbe kuna madude yanamgalauza usiku kucha?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…