Lady JayDee na jini mahaba!

Lady JayDee na jini mahaba!

Duu..! Huyu binti ndo maana amebaki mifupa tu.! Anawezaje kuchezea ka-LIBOLO ka Gadner na LIBOLO la jini mahaba at a time? Mshaurini abaki la LIBOLO la tiba jamani..!
 
Wanawake wengi sana wana hizo issue, usiombe likupate hilo dude waweza kaa maisha yako yote hupati mtoto, uki conceive mimba inatoka tuu huelewi zinatokaje LKN kwa JINa la YESU pepo tooooooooooooooooooooooooooooooooooooooka, likishatoka na kid utapata
 
Nyimwa vyote ila usinyimwe uwezo wa kujua lipi la kusema na lipi si la kusema!!
Hii couple lahaula,wamekosa zali hilo!!
 
Nyimwa vyote ila usinyimwe uwezo wa kujua lipi la kusema na lipi si la kusema!!
Hii couple lahaula,wamekosa zali hilo!!

hili nalo neno, na tutarajie kusikia mengi zaid ya hili!
 
Duh!kweli kila mtu ana zake! Nimesoma heading! Nikaingia! Nadhani hata jide akiingia akaona yatokanayo na topic yake atachoka!! Halafu nasikia nasikia duh! Mara lazima mume apalaraizishwe! Mara tigo! Marakukauka! Pple ar so full with negativity!Anyway am still laughing at this Lmao!!! Pole jide nitapenda kuona hiki kipindi marudio lini?
 
shigongo ameshapata kichwa cha habari cha kuuzia gazeti
 
Najaribu tu kufikiria aina ya tiba ambayo anadai kaipata na anayo....
 
Najaribu tu kufikiria aina ya tiba ambayo anadai kaipata na anayo....

tiba ya haraka zaidi na kutegemea ni maombi. Ukiota ndoto za kufanya mapenzi (hata kama umemuota mwenza wako) ama kukosa hamu ya kufanya mapenzi huenda ikawa ni jini mahaba. Ndo maana tunaambiwa tukeshe na kuomba kila wakati.
Binafsi, wakiwa kama vioo vya jamii nawapongeza kwa kufunguka kuhusu hilo ili wanaoteseka wajue sio wao peke yao. Nafurahia sana mahusiano ya Jide na Gardner. Im sure walijadili hili kabla ya kuamua kushare. Wanandoa wachache.sana wanaweza kuovercome challenge pamoja.
 
Back
Top Bottom