Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Kupata tiba ni hadi ana kwa ana ama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tenda ya nini tena bro, hebu acheni bwana.Watu wanatangaza tenda, nyie mnakuja na dua 🙂
Tenda ya nini tena bro, hebu acheni bwana.
Eboo,
Halafu kesho "eeeenh, sina bahati, maselebriti nawatafuta siwaoni".
Kumbe maselebrity wenyewe ndo hao wanatumia tasnia na lugha ya taswira.
Sasa mnataka aseme kipi zaidi?
Fafanua tena kidogo.
Kweli dunia ina mambo na vimbwaga vyake!
Leo j2 katika kpndi ya diary ya lady jay dee knachorushwa na kituo cha eatv kaelezea jinsi gani anavyosumbuliwa na ndoto za usiku pamoja na jini mahaba ambalo hufanya nalo mapenzi mara kwa mara hvyo kaweza kupatiwa tiba, so wenye matatizo km hayo wanaweza muona jay dee kwa maelezo zaid!
we kweli mawazo yako huwa siyawezi. shemejji hajambo.Kwa hiyo ule wimbo wa mtarimbo umelala doro alikuwa anampiga kijembe Gardner? Maana nasikia mtu akiwa anagegedwa na jini mahaba, mumewe lazima mpini wake upigwe paralyze r
Unless you want to have a session na jini mahaba sioni jinsi nyingine utakavyothibitisha........i think yule mtoto wa Sheikh Yahya anaweza waita
mkuu umeona mbali hicho kipindiexactlly, bnafsi sikuona umuhimu wa jide na gadner kulizugumizia hlo jambo kwnye public!
hapo penyeweAende akaombewe, shehe naye anaweza kuwa na majini, dawa ya jini na mapepo ni JINA LA YESU NA DAMU YAKE TU.
Some things are better left unsaid
Mhhhhhhhhhh! sina nyongeza maana hata mimi nilimsikia nikaona ni private issues. ila tu amrejeree Muumba wake ndiye muweza yote.Mhhhhhhhhh
Some things are better left unsaid