Lady JayDee na jini mahaba!

Lady JayDee na jini mahaba!

Tenda ya nini tena bro, hebu acheni bwana.

Eboo,

Halafu kesho "eeeenh, sina bahati, maselebriti nawatafuta siwaoni".

Kumbe maselebrity wenyewe ndo hao wanatumia tasnia na lugha ya taswira.

Sasa mnataka aseme kipi zaidi?
 
Fafanua tena kidogo.
Eboo,

Halafu kesho "eeeenh, sina bahati, maselebriti nawatafuta siwaoni".

Kumbe maselebrity wenyewe ndo hao wanatumia tasnia na lugha ya taswira.

Sasa mnataka aseme kipi zaidi?
 
Kweli dunia ina mambo na vimbwaga vyake!
Leo j2 katika kpndi ya diary ya lady jay dee knachorushwa na kituo cha eatv kaelezea jinsi gani anavyosumbuliwa na ndoto za usiku pamoja na jini mahaba ambalo hufanya nalo mapenzi mara kwa mara hvyo kaweza kupatiwa tiba, so wenye matatizo km hayo wanaweza muona jay dee kwa maelezo zaid!

mapepo hayo
 
Aende akaombewe, shehe naye anaweza kuwa na majini, dawa ya jini na mapepo ni JINA LA YESU NA DAMU YAKE TU.
 
Kwa hiyo ule wimbo wa mtarimbo umelala doro alikuwa anampiga kijembe Gardner? Maana nasikia mtu akiwa anagegedwa na jini mahaba, mumewe lazima mpini wake upigwe paralyze r
we kweli mawazo yako huwa siyawezi. shemejji hajambo.
 
exactlly, bnafsi sikuona umuhimu wa jide na gadner kulizugumizia hlo jambo kwnye public!
mkuu umeona mbali hicho kipindi
c

hao topic zimeisha kwa sisi tulioishi na Jide uswazi kiwalani anawaongopea jini ale mzigo Gadner atakula cha jini umesikia wapi jini akila anafunga ili afaidi yeye
 
Aende akaombewe, shehe naye anaweza kuwa na majini, dawa ya jini na mapepo ni JINA LA YESU NA DAMU YAKE TU.
hapo penyewe
huyo ni pepo wa ngono si jini mahaba kama jini mahaba Gerdner angempataje?
 
Some things are better left unsaid

Mkuu nasikia usiposema ndio yanazidi kukulibolo. Na ukifunguka kama hivi alivyofanya jide yanasepa. Dah! Kumbe ndio maana jide hazai pole yake.
 
So baada ya kutibiwa amjifunza na utabibu?
 
Ndo shida ya kuiga utamaduni wa magharibi !! haya mambo ya diaries tuwaachie wazungu jamani,ona sasa binti wa watu kaaibika mwenyewe katoa siri kwamba anafyatuliwa na majini !!!
 
Sina nia mbaya, lakini hivi vipindi vingine ni vyema vikaandaliwa hata mwaka mzima. Siku ya kipindi ikifika mwenye vipindi anafanya kuchomoa tu kwenye library, manake vikianza kukatikia hewani ndio shida zinaanzia hivi hivi.....
 
Nilishahisi toka kitambo kuwa mambo hayakuwa sawasawa.. 'Reality show' yake siyo 'too convincing'.There is much hidden unhappiness.. Hakuna cha jini mahaba bali Gadner is the culprit. He has to make peace with his past..
 
Back
Top Bottom