Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona ee, kaota hajaota ,atajijua mwenyewe. Hajui kuota ni ukosefu wa utamu mwilini,ukikosa kwa muda mrefu na umezoea lazima utaota, sasa waswahili wanasingizia majini,na waanaokojoa kitandani wanakojoleshwa na majini???Mhhhhhhhhhh! sina nyongeza maana hata mimi nilimsikia nikaona ni private issues. ila tu amrejeree Muumba wake ndiye muweza yote.
Mkuu nasikia usiposema ndio yanazidi kukulibolo. Na ukifunguka kama hivi alivyofanya jide yanasepa. Dah! Kumbe ndio maana jide hazai pole yake.
Rubi shemeji mzima kabisawe kweli mawazo yako huwa siyawezi. shemejji hajambo.
Haaaaaaa!, kwa hiyo
jini limeshamula Jide?, nasikia wale wadudu wana mindonga ya kufa mtu
halafu wanapenda sana ule mtandao, sipati picha Jide yani, teh
,teh.
Kumbe ndio maana mpaka leo hajapata mtoto? Au Shem Gardner jogoo hapandi mtungi? DUuuUU pole dada, kweli mungu hakupi yote, mipesa yoooote hiyo, mtt nooo. Jitahidi hata ku-do nje. :crying:
pole jide. ila hukutumia busara kumwaga iyo issue kwa pubic, ni matatizo kweli lkn kila kitu na mahala pake.
Wanawake wengi sana wana hizo issue, usiombe likupate hilo dude waweza kaa maisha yako yote hupati mtoto, uki conceive mimba inatoka tuu huelewi zinatokaje LKN kwa JINa la YESU pepo tooooooooooooooooooooooooooooooooooooooka, likishatoka na kid utapata
Nimependa sana huu mchango wako mkuu,tiba ya haraka zaidi na kutegemea ni maombi. Ukiota ndoto za kufanya mapenzi (hata kama umemuota mwenza wako) ama kukosa hamu ya kufanya mapenzi huenda ikawa ni jini mahaba. Ndo maana tunaambiwa tukeshe na kuomba kila wakati.
Binafsi, wakiwa kama vioo vya jamii nawapongeza kwa kufunguka kuhusu hilo ili wanaoteseka wajue sio wao peke yao. Nafurahia sana mahusiano ya Jide na Gardner. Im sure walijadili hili kabla ya kuamua kushare. Wanandoa wachache.sana wanaweza kuovercome challenge pamoja.
Ndiyo maaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana!
Ninong'oneze na miye basi.
tiba ya haraka zaidi na kutegemea ni maombi. Ukiota ndoto za kufanya mapenzi (hata kama umemuota mwenza wako) ama kukosa hamu ya kufanya mapenzi huenda ikawa ni jini mahaba. Ndo maana tunaambiwa tukeshe na kuomba kila wakati.
Binafsi, wakiwa kama vioo vya jamii nawapongeza kwa kufunguka kuhusu hilo ili wanaoteseka wajue sio wao peke yao. Nafurahia sana mahusiano ya Jide na Gardner. Im sure walijadili hili kabla ya kuamua kushare. Wanandoa wachache.sana wanaweza kuovercome challenge pamoja.