Lady JayDee na jini mahaba!

Lady JayDee na jini mahaba!

Kwa hiyo ule wimbo wa mtarimbo umelala doro alikuwa anampiga kijembe Gardner? Maana nasikia mtu akiwa anagegedwa na jini mahaba, mumewe lazima mpini wake upigwe paralyze r

Do mkuu una nongwa wewe? Unampiga jamaa kijembe live and kavu kavu!
 
Well said mkuu, wanasema " if the first idea is not absurb there is no hope for it"
Wengi tumezoea idea zilezile, unapokuja na idea flani tofauti kila mtu anakuona kituko. Itafika siku jide atakuwa amefungua njia kwa jamii kuUngumza matatizo yetu ambayo yanagusa pia sehemu nyingine ya jamii ambayo ni voiceless.
uko right:mvutaji:
 
Acheni majungu jaydee yupo juu nyie mtabaki kubwabwaj tu hamumpat kwa lolote..
 
Back
Top Bottom