Huu wimbo unanikumbusha mbaali sana! Cant wait to remember those awesome moment!!!!!!! Miss uuuuuuNailazimisha furaha ingawa moyoni nina machozi
Nani wa kunifuta machozi umeondoka umekwenda mbali
I need this jide!
Jide anajua kukonga nyoyo za mashabiki wake...nampenda sanaKatika wanamziki bora kabixa wa kike ni huyu dada napenda sana miziki yake
Huu wimbo unanikumbusha mbaali sana! Cant wait to remember those awesome moment!!!!!!! Miss uuuuuu
Jide ameshafeli maisha,nyumbani lounge chali,machozi band chali,ndoa chali,nyumba imeuzwa na benki kabaki kua komando asiweza hata kushika kirungu
Nakuambia aah siri yngNailazimisha furaha ingawa moyoni nina machozi
Nani wa kunifuta machozi umeondoka umekwenda mbali
I need this jide!
Uko sahihi bhanashe is gifted kwa kweli, ndio maana yupo juu
Ondo neno tuko sema uko bize wewe kwa ujio wa huyo boss wako aliyekutuma....wewe kataa kubali gadner kwa jide alikuwa mtu muhimu....ndio maana ameyumba na amefeli....unafikiri game la baba yake aamue anavyotaka....kama wewe meneja wake huyo jide wenu mtafutieni bar ya kutumbuiza kiingilia bia au soda tuje tumuone kwa stage nyingine.....outumuhimu amekua Mungu? mxieee kwendeni huko, tuko busy kusubir ujio mpya wa jide, nyie mtajibeba endeleen kusubiri umuhimu wenu
Mshana, ck ukiwa juu kila mtu atapenda kujua undani wa maisha yako nguvu na udhaifu, ndio maana umegundua/umeambiwa Ana roho Saba. Naamini ck wew ukiwa super star tutaanza kukuchungiza na labda tukagundua una ndimi mbili kama nyoka au una roho 12 kama mnyama flaniAna roho saba kama paka huyu binti
Huyu jamaa anafurahia mabaya ya jide but hataamin atakaposimama na kufanya makubwa tofauti na matarajio yake, vilevile kufilisika hakumwondolei mtu Atlanta yakePyeeeeeeee utakuwa Ruge na lisura lako kama unapiga chafya! , mlimdhibiti jide kipindi cha JK kwasasa kipindi cha Magu hamna ubavu huo mbwa kasoro mkia
Atlanta....I mean....talantaHuyu jamaa anafurahia mabaya ya jide but hataamin atakaposimama na kufanya makubwa tofauti na matarajio yake, vilevile kufilisika hakumwondolei mtu Atlanta yake
Mkuu naona ungesubiri tuone atatokaje,gemu gumu muulize kibakulishe is gifted kwa kweli, ndio maana yupo juu
Nakuambia aah siri yng
Inayohusu maisha yng yanayosumbua moyo wn
Tega sikion kwa makin nikuelezee
Dah Jide huyu sidhan kama atarud mkuu