Lady Jaydee: Naamka tena baada ya siku 30

Lady Jaydee: Naamka tena baada ya siku 30

Nailazimisha furaha ingawa moyoni nina machozi

Nani wa kunifuta machozi umeondoka umekwenda mbali

I need this jide!
Huu wimbo unanikumbusha mbaali sana! Cant wait to remember those awesome moment!!!!!!! Miss uuuuuu
 
Huu wimbo unanikumbusha mbaali sana! Cant wait to remember those awesome moment!!!!!!! Miss uuuuuu

Same here...

Those moment whem we used to chill after dark...you remember?!
 
Jide ameshafeli maisha,nyumbani lounge chali,machozi band chali,ndoa chali,nyumba imeuzwa na benki kabaki kua komando asiweza hata kushika kirungu

Pyeeeeeeee utakuwa Ruge na lisura lako kama unapiga chafya! , mlimdhibiti jide kipindi cha JK kwasasa kipindi cha Magu hamna ubavu huo mbwa kasoro mkia
 
Nailazimisha furaha ingawa moyoni nina machozi

Nani wa kunifuta machozi umeondoka umekwenda mbali

I need this jide!
Nakuambia aah siri yng
Inayohusu maisha yng yanayosumbua moyo wn
Tega sikion kwa makin nikuelezee
Dah Jide huyu sidhan kama atarud mkuu
 
umuhimu amekua Mungu? mxieee kwendeni huko, tuko busy kusubir ujio mpya wa jide, nyie mtajibeba endeleen kusubiri umuhimu wenu
Ondo neno tuko sema uko bize wewe kwa ujio wa huyo boss wako aliyekutuma....wewe kataa kubali gadner kwa jide alikuwa mtu muhimu....ndio maana ameyumba na amefeli....unafikiri game la baba yake aamue anavyotaka....kama wewe meneja wake huyo jide wenu mtafutieni bar ya kutumbuiza kiingilia bia au soda tuje tumuone kwa stage nyingine.....out
 
Ana roho saba kama paka huyu binti
Mshana, ck ukiwa juu kila mtu atapenda kujua undani wa maisha yako nguvu na udhaifu, ndio maana umegundua/umeambiwa Ana roho Saba. Naamini ck wew ukiwa super star tutaanza kukuchungiza na labda tukagundua una ndimi mbili kama nyoka au una roho 12 kama mnyama flani
 
Pyeeeeeeee utakuwa Ruge na lisura lako kama unapiga chafya! , mlimdhibiti jide kipindi cha JK kwasasa kipindi cha Magu hamna ubavu huo mbwa kasoro mkia
Huyu jamaa anafurahia mabaya ya jide but hataamin atakaposimama na kufanya makubwa tofauti na matarajio yake, vilevile kufilisika hakumwondolei mtu Atlanta yake
 
Huyu jamaa anafurahia mabaya ya jide but hataamin atakaposimama na kufanya makubwa tofauti na matarajio yake, vilevile kufilisika hakumwondolei mtu Atlanta yake
Atlanta....I mean....talanta
 
Nakuambia aah siri yng
Inayohusu maisha yng yanayosumbua moyo wn
Tega sikion kwa makin nikuelezee
Dah Jide huyu sidhan kama atarud mkuu

Daah mkuu kweli aisee

Wacha tuone huu ujio mpya..
 
Back
Top Bottom