Lady jaydee ndani ya 707 great Gatsby

Lady jaydee ndani ya 707 great Gatsby

Naona Jide anakimbizana na muda, ndio vile tena jioni imeshafika..
 
Shetani akizeeka huwa malaika...
Ni aina ya wanawake sugu kweli kweli
Hvi kumbe lile bifu la dada Jide na domo liliisha? Maana hawa nao walikua hawapatanagi, mmh nimefurahi kumuona jide kwa mara ya kwanza kwenye event inayomhusu Diamond, kweli dada jide siku hizi kakua View attachment 1148940
 
Warumi miaka yote niko JF kwa ajili yako ujue, unafurahisha sana na mineno yako.... Sichangii hoja mara kwa mara lakini nakusoma daily
 
BONGO THEMED PARTIES BADO SANA!
Hii party hata wahusika hawakuweza kuvaa inavyotakiwa kulingana na theme waliyoichagua!
 
Hvi kumbe lile bifu la dada Jide na domo liliisha? Maana hawa nao walikua hawapatanagi, mmh nimefurahi kumuona jide kwa mara ya kwanza kwenye event inayomhusu Diamond, kweli dada jide siku hizi kakua View attachment 1148940

Binam hebu weka ubuyu wa vera jamani kawa cheusi kidawa
 
Hvi kumbe lile bifu la dada Jide na domo liliisha? Maana hawa nao walikua hawapatanagi, mmh nimefurahi kumuona jide kwa mara ya kwanza kwenye event inayomhusu Diamond, kweli dada jide siku hizi kakua View attachment 1148940

Adui wa adui yako ni rafiki yako.

Nadhani wameutumia huu msemo kukamilisha hilo japo mmoja ameshatangulia mbele za haki.
 
Warumi miaka yote niko JF kwa ajili yako ujue, unafurahisha sana na mineno yako.... Sichangii hoja mara kwa mara lakini nakusoma daily

Ahahah Ahsante binamu, nafurah kusikia hivyo
 
Back
Top Bottom