hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
HahaaJunior aliyegraduate kwa Lecturer aliyefundishwa na Junior!..
Hii ndio ile 'tua nikutwishe' sasa!!..
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaaJunior aliyegraduate kwa Lecturer aliyefundishwa na Junior!..
Hii ndio ile 'tua nikutwishe' sasa!!..
Hata mimi sijaamini kwakwelikumbe una wababe wako sekta hii!!..
Yani alichomfanyia huyo binti ndiyo wewe ulimfanyia yule binti mkatokomea mkatuachia uzi.Aisee Wick Castr .. kuna watu wana phd ya ku-seduceView attachment 1004876
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha binti gani huyo .... haha jamaa kapotea kweli na mtu wake ujue uzi katuachia hapaYani alichomfanyia huyo binti ndiyo wewe ulimfanyia yule binti mkatokomea mkatuachia uzi.
Nimekutamani?Dah umeanza kunitamani na mimi mwanaume mwenzako ... aise wewe sio mtu mzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani ikabidi niusome wote kuangalia huyo injinia mtaalam zaid ya nayemjua mie kaapply formula zipi kwenye equation.Hata mimi sijaamini kwakweli
We ndugu siyo wa kawaida...Nimekutamani?
Halafu hata sikujua jinsia yako mkuu sorry kama umejisikia vibaya.
Mie natazamaga maandishi tu aisee!
Hahaa haa .... umemuona huyo jamaa eehh hahaa nimecheka Sana aiseWe ndugu siyo wa kawaida...
Yaani mwandiko tu unakupa jinsi ya mtu na unaibananisha chemba fastaKwanini boss?
Mtoto kakaribisha mtu huku anatabasamu.Hahaa haa .... umemuona huyo jamaa eehh hahaa nimecheka Sana aise
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah mi sijawahi kuingia PM ya mtu. Naona mdada kakukaribisha kwa shangwe zote, halafu haujaongea sana yaani.Kwani lipi la ajabu umeliona mpaka kunipa mavyeo yote hayo mzee?
Kweli wewe ni genius wa mitongozo. Nakubali aiseAnhaa. Hayo ni mambo ya kitaalamu sana mkuu.
Haha shemeji gani tena ... mbona sielewi mazee kwa hiyo hii sabuni nayoitumia kupiga masturbation ndio mnaiita shemeji yenu !?Big up kwa shemeji yetu, kajua kumtotolesha kitambi jamaa yetu 🙂
hearly ukitoka ulipodakwa inakula kwako.
Sawa " lecture wanguKuanzia leo nitakua nakuita Master.
Ila hearly we ni Shivo