Lady Jaydee: Nilikuwa mwizi wa simu, sio hela..

Lady Jaydee: Nilikuwa mwizi wa simu, sio hela..

Tangu nilivyokuona umekuwa rafiki wa hawa watu Castr Wick daah nikawa najisemea kimoyo moyo dada zetu humu hawapo salama .... hatimae leo yametimia...

Haiwezekani uwe na urafiki na hao lady's lover's halafu usiwe mpenda totoz

Sent using Jamii Forums mobile app
kwanza kabisa napenda toa shukrani kupewa cheo ambacho sio changu maana PM yangu kidogo itaweza safishwa vumbi la kutotumika.
Pili napenda waomba wataalamu ulonifananisha nao wanipe utaalam wao ili siendelee kuwa 'mzembe'.
Tatu tumemkimbiza ndege wa Interest tayari inabidi umtafute
 
Haha wewe unasema ndege tume mkimbiza .. wakati mwenzio yupo pm huko na kesha muacha na manyoya Invisible amesha nivujishia issue nzima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe ni mwizi wa simu?
Lugha za uandishi wa habari hizo!Kuchukua kitu cha mtu/watu bila ruhusa ni kuiba.Haijalishi utarudisha au kutokomea nacho.After all,mwandishi alilenga kukuvutia kwanza ili upate mshawasha wa kusoma habari yake.
 
Back
Top Bottom