Lady Jaydee: Nilikuwa mwizi wa simu, sio hela..

Dah mi sijawahi kuingia PM ya mtu. Naona mdada kakukaribisha kwa shangwe zote, halafu haujaongea sana yaani.
Anhaa! Pale nilitumia reverse psychology tactic (kwa sauti ya Mwl. Kashasha)..
 
kwanza kabisa napenda toa shukrani kupewa cheo ambacho sio changu maana PM yangu kidogo itaweza safishwa vumbi la kutotumika.
Pili napenda waomba wataalamu ulonifananisha nao wanipe utaalam wao ili siendelee kuwa 'mzembe'.
Tatu tumemkimbiza ndege wa Interest tayari inabidi umtafute
 
Haha wewe unasema ndege tume mkimbiza .. wakati mwenzio yupo pm huko na kesha muacha na manyoya Invisible amesha nivujishia issue nzima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada zetu wapo salama usalmini. Mimi sio bazazi!
 
Kumbe ni mwizi wa simu?
Lugha za uandishi wa habari hizo!Kuchukua kitu cha mtu/watu bila ruhusa ni kuiba.Haijalishi utarudisha au kutokomea nacho.After all,mwandishi alilenga kukuvutia kwanza ili upate mshawasha wa kusoma habari yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…