Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
-
- #81
Duh kijana kama umetumwa hajawahi kuomba hata msaada huyu dada Comandoooo
uache ushamba we mwanamke, viwanja vyangu na vyako tofauti. mimi sipo tanzania, viwanja vyangu ni soccer na kwenda beach na familia yangu, sio sawa na wew unaeenda bar kushikwashikwa ma.ta.ko na wanaume wenzako.
Huyu mwenye hii post bila shaka ni virus
kucheza bila kukunja goti ndo kitu gani??
Alitumika kivipi?
Weka ushahidi mezani kisha tujuwe ni nani alikuwa wa kwanza kusema atafanya shoo tarehe ile?
Acha kudundishwa kama kitenesi.
Yule Bibi alikuwa anatafuta huruma zenu na akafanikiwa kuwapata.
Mbona alishindwa kuthibitisha madai ya kile kituo cha Redio alichokishutumu kumnyonya na kumkandamiza?
Matokeo yake na nyie wakurupukaji mkaingizwa mkenge na kwenda kujenga bifu na watu ambalo halina kichwa, tumbo wala miguu.
Jifunze kufanya uchunguzi wewe mwenyewe au kupima kauli za wasanii.
Wana mbinu nyingi za kukuvutia ili ufanikishe kumuingizia kipato...
Shtuka
hii sasa ni mipashotunaoiona kesho tulisimama imara na kuweka msimamo kuwa huyu kikongwe kaishiwa na anatapata tu ili apate huruma ya wakurupukaji...
yametimia ya waungwana.
hatimae Old Lady toka mkoa wa Mara zile nyimbo zake mbili ambazo alishauriwa akawauzie wakulima wa Mpunga ili zitumike kufukuzia Ndege, leo hii hazisikiki.
Joto hasira na Yahaya hata Kilabuni hazivumi tena, hapo anapofanya shoo na kwaya yake napo kwishney.
Wakati upande wa pili Mwana FA ambaye aliwahi kutuhumiwa na Bibi huyu akiwa anaunguruma ipasavyo kwenye kibao kilichoibamba Africa Mashariki kwa sasa kinachokwenda kwa jina la Cheza bila kukunja goti akiwa anafanya vema na kukimbiza.
Hakika Jide kapotea kama harufu ya Ushuzi...
Jaydee anafanya vizuri tu, karibia bodaboda zote zina nyimbo ya yahaya, radio bado zinapiga we sijui unasikiliza radio gani? , tunaona kwenye Coke studio, Mwache dada wa watu afanye kazi zake, mwanaFA katoka nyimbo kama zamani haijadumu ata mwezi, hiyo cheza bila kukunja goti ni nguvu ya watu 3. Kuwa na mtu kama jide kwa miaka 13 kwenye gamu bila kushuka kiwango si kitu kidogo. Wache vijana wafanye music tufurahi
tunaoiona kesho tulisimama imara na kuweka msimamo kuwa huyu kikongwe kaishiwa na anatapata tu ili apate huruma ya wakurupukaji...
yametimia ya waungwana.
hatimae Old Lady toka mkoa wa Mara zile nyimbo zake mbili ambazo alishauriwa akawauzie wakulima wa Mpunga ili zitumike kufukuzia Ndege, leo hii hazisikiki.
Joto hasira na Yahaya hata Kilabuni hazivumi tena, hapo anapofanya shoo na kwaya yake napo kwishney.
Wakati upande wa pili Mwana FA ambaye aliwahi kutuhumiwa na Bibi huyu akiwa anaunguruma ipasavyo kwenye kibao kilichoibamba Africa Mashariki kwa sasa kinachokwenda kwa jina la Cheza bila kukunja goti akiwa anafanya vema na kukimbiza.
Hakika Jide kapotea kama harufu ya Ushuzi...
tunaoiona kesho tulisimama imara na kuweka msimamo kuwa huyu kikongwe kaishiwa na anatapata tu ili apate huruma ya wakurupukaji...
yametimia ya waungwana.
hatimae Old Lady toka mkoa wa Mara zile nyimbo zake mbili ambazo alishauriwa akawauzie wakulima wa Mpunga ili zitumike kufukuzia Ndege, leo hii hazisikiki.
Joto hasira na Yahaya hata Kilabuni hazivumi tena, hapo anapofanya shoo na kwaya yake napo kwishney.
Wakati upande wa pili Mwana FA ambaye aliwahi kutuhumiwa na Bibi huyu akiwa anaunguruma ipasavyo kwenye kibao kilichoibamba Africa Mashariki kwa sasa kinachokwenda kwa jina la Cheza bila kukunja goti akiwa anafanya vema na kukimbiza.
Hakika Jide kapotea kama harufu ya Ushuzi...
Mleta uzi km uldhan unampandisha mwana fa basi jua kadri unavyoendelea ndo unazidi muharibia!..na kitaa anatambulika kama "snitch"!rama d ft. Jd-kama huwezi ndo collabo la mwaka! Hutaki?jimalize!
wewe mtoa mada utakuwa umetumwa kupost hii habar kwan nyimbo za mwanadada huyu nazisikia karibu kila siku MOROGORO
Duh! Hata mie ndo nasikia humu leo eti ni wimbo! Hauna umaarufu zaidi ya kwa aliyeleta thread hii ya ki-shogo humu.
Kichaaa sio waa makopo tuu ukutee nakoo ndoo kichaaa chakee uyuu
baada ya msiba wa mangwair hv nan alikua wa kwanza ku readvertise tarehe ya show yake??