Lady JD chali, Watu Wanacheza bila Kukunja Goti...

Lady JD chali, Watu Wanacheza bila Kukunja Goti...

Duh kijana kama umetumwa hajawahi kuomba hata msaada huyu dada Comandoooo

Hye hye hye hyee we kweli umekariri...
Kwa taarifa yako hata Comando, zake zikifika anakufa tu.
Tena wengine wanakufa kifala kweli.
Usidanganywe na Movie zile unazoziangalia kwenye mabanda yenu huko unakoishi.
 
uache ushamba we mwanamke, viwanja vyangu na vyako tofauti. mimi sipo tanzania, viwanja vyangu ni soccer na kwenda beach na familia yangu, sio sawa na wew unaeenda bar kushikwashikwa ma.ta.ko na wanaume wenzako.

Hah hah hah sasa kama haupo Tanzania nini kimekupwita mpaka umetoka povu na kuja kujadili yanayoendelea Tanzania?

Kwanza kachambe ndio uje ujadili hapa.
mwanaume akiongea wewe unatakiwa ukungute wowowo hilo kisha uende mbele ya kioo na kujipara...
 
Huyu mwenye hii post bila shaka ni virus

Haya asante kwa mchango wako.
Nenda kachambe sasa kisha uende mbele ya kioo na uanze kutumbua chunusi moja baada ya nyingine...
Kumekucha sasa, biashara asubuhi.
 
Mleta uzi km uldhan unampandisha mwana fa basi jua kadri unavyoendelea ndo unazidi muharibia!..na kitaa anatambulika kama "snitch"!rama d ft. Jd-kama huwezi ndo collabo la mwaka! Hutaki?jimalize!
 
work hard play hard, most of u seem 2b poorminded dats y u kip discussin others, this z capitalistic world so competition z inevitable in profitable issues!
 
Walikuwepo hawa na wakapotea....
1.Da Joh
2.Rah P
3.Sister P
4.Zay B
5.Maunda Zorro
6.Unique Sisterz
7.Dattaz
8.Joan
9.Ray C
10.Paulin Zongo
Na wengineo...

Hawa nao wakaibuka ila ghafla mawimbi ya bomgo flava yakawayumbisha...
1.Rachel
2.Mwasiti
3.Pipi

Huyu alikuwepo,yupo na ataendelea kuwepo na kupata tuzo nyingi zaidi maana ndiye mwanamke pekee aliyekomaa na muzki kwa kipindi kirefu zaidi hasa ikizingatiwa ugumu wa kufanya muziki wa bongo ulivyo mgumu haswa kwa wanawake.Hakukosea kujiita Iron Lady,Comando,Anaconda,Mama Wallet,Mama Some Food na mwanamuziki wa kwanza wa kike bongo kuendesha PRADO kwa kipindi kile ambalo akaja kumuuzia producer Lamar hivi juzi kati,huyu si mwingine bali ni LADY JAY DEE.

Ifike kipindi tujue kutofautisha ukweli na mapenzi binafsi basi jamani.

"Nlikuwepo"
 
Alitumika kivipi?
Weka ushahidi mezani kisha tujuwe ni nani alikuwa wa kwanza kusema atafanya shoo tarehe ile?

Acha kudundishwa kama kitenesi.
Yule Bibi alikuwa anatafuta huruma zenu na akafanikiwa kuwapata.

Mbona alishindwa kuthibitisha madai ya kile kituo cha Redio alichokishutumu kumnyonya na kumkandamiza?

Matokeo yake na nyie wakurupukaji mkaingizwa mkenge na kwenda kujenga bifu na watu ambalo halina kichwa, tumbo wala miguu.

Jifunze kufanya uchunguzi wewe mwenyewe au kupima kauli za wasanii.
Wana mbinu nyingi za kukuvutia ili ufanikishe kumuingizia kipato...

Shtuka

baada ya msiba wa mangwair hv nan alikua wa kwanza ku readvertise tarehe ya show yake??
 
tunaoiona kesho tulisimama imara na kuweka msimamo kuwa huyu kikongwe kaishiwa na anatapata tu ili apate huruma ya wakurupukaji...

yametimia ya waungwana.
hatimae Old Lady toka mkoa wa Mara zile nyimbo zake mbili ambazo alishauriwa akawauzie wakulima wa Mpunga ili zitumike kufukuzia Ndege, leo hii hazisikiki.
Joto hasira na Yahaya hata Kilabuni hazivumi tena, hapo anapofanya shoo na kwaya yake napo kwishney.

Wakati upande wa pili Mwana FA ambaye aliwahi kutuhumiwa na Bibi huyu akiwa anaunguruma ipasavyo kwenye kibao kilichoibamba Africa Mashariki kwa sasa kinachokwenda kwa jina la Cheza bila kukunja goti akiwa anafanya vema na kukimbiza.

Hakika Jide kapotea kama harufu ya Ushuzi...
hii sasa ni mipasho
 
Huna lolote umeishiwa wewe wivu tu Jide yupo imara sana,
 
Jaydee anafanya vizuri tu, karibia bodaboda zote zina nyimbo ya yahaya, radio bado zinapiga we sijui unasikiliza radio gani? , tunaona kwenye Coke studio, Mwache dada wa watu afanye kazi zake, mwanaFA katoka nyimbo kama zamani haijadumu ata mwezi, hiyo cheza bila kukunja goti ni nguvu ya watu 3. Kuwa na mtu kama jide kwa miaka 13 kwenye gamu bila kushuka kiwango si kitu kidogo. Wache vijana wafanye music tufurahi

anasikiliza clouds huyo ambao hawapigi nyimbo za Jide
 
tunaoiona kesho tulisimama imara na kuweka msimamo kuwa huyu kikongwe kaishiwa na anatapata tu ili apate huruma ya wakurupukaji...

yametimia ya waungwana.
hatimae Old Lady toka mkoa wa Mara zile nyimbo zake mbili ambazo alishauriwa akawauzie wakulima wa Mpunga ili zitumike kufukuzia Ndege, leo hii hazisikiki.
Joto hasira na Yahaya hata Kilabuni hazivumi tena, hapo anapofanya shoo na kwaya yake napo kwishney.

Wakati upande wa pili Mwana FA ambaye aliwahi kutuhumiwa na Bibi huyu akiwa anaunguruma ipasavyo kwenye kibao kilichoibamba Africa Mashariki kwa sasa kinachokwenda kwa jina la Cheza bila kukunja goti akiwa anafanya vema na kukimbiza.

Hakika Jide kapotea kama harufu ya Ushuzi...

Wivu wa kike (msuya)
 
Komredi E. bin Kiwelu..kitambo sana eeh? naona hata Fb umepotea..heshima yako mkuu!
 
Mleta uzi km uldhan unampandisha mwana fa basi jua kadri unavyoendelea ndo unazidi muharibia!..na kitaa anatambulika kama "snitch"!rama d ft. Jd-kama huwezi ndo collabo la mwaka! Hutaki?jimalize!

Kitaa kipi anachojulikana kama snitch?
Acha maneno ya jumlajumla ambayo hayana kichwa, tumbo wala miguu.
 
wewe mtoa mada utakuwa umetumwa kupost hii habar kwan nyimbo za mwanadada huyu nazisikia karibu kila siku MOROGORO

Funga Bakuli lako wewee...
Huko Morogoro hata nyimbo za Dogo Dito zinatamba.
Njoo Dar...
 
Duh! Hata mie ndo nasikia humu leo eti ni wimbo! Hauna umaarufu zaidi ya kwa aliyeleta thread hii ya ki-shogo humu.

Nimewaambia wavaa gagulo wenzio muende jukwaa la mapishi...
Humu hakuwafai.
 
Back
Top Bottom