Lady JD chali, Watu Wanacheza bila Kukunja Goti...

Mwenye akili timamu hawezi kulinganisha uwezo wa dagaa na Papa. Jaydee namba nyingine kabisa huyo muimba Commercial hata umpigie promo mpaka mdomo ukupauke atasubiri sana Jide ashuke. JAYDEE ndiyo ameshakaa kwenye usukani.
 
i don't know whether you are the man or woman...but you sound like a bitch. people are feed up with this nonsense and stupidity. please moderator get rid of this shit...


It was...
now days kaisha, kabaki kama mkia wa Mbuzi...haustiri uchi wala haufukuzi Nzi...
 
da yaani nimekuja mbiombio kweli alimanusura nimwage maandazi ya watu nikajua lady jay dee kaliwa uroda akiwa chali kumbe ni majungu yenu ya kimziki tu
 

Umelipwa kiasi gani ili uje kumchafua Komandoo aka anakonda hapa Jukwaani?
Kumbuka Jide anatisha yupo level zingine kabisa na ameendelea kuutunza muziki wake. Huyo FA mbona nyimbo zake nzuri ni zile alizotoa na Jide mfano hawajui angalia Jide alivyoimba safi kamfunika hadi FA
 
aisee duu hivi cheza bila kukunja goti na yahaya hipi inapata air time kubw

are serious kuandika ulicho kiandika?duuu.

hao hawawezi kushindana na jide kabisa hasa mwana fa.

HAHAHA UMENICHEKESHA NA HIZI NDOTO ZAKO.

Huyo huwa anasikiliza redio ya mateja Clouds
 
fikil kabla ya kuandika sio unaandika ndo unafikir..mwanaume kuwa na chuki za kike sio issue
 

Ndo shida ya kuchanganya viroba!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
We utakuwa mpambe wa mwana fa.mwambie kazi aliyokutuma ushamaliza hivyo mfanye malipo
 
Gang Chomba....umeongea ukweli mtupu man!..wenye wivu wajinyonge sana wenye wivu wajinyongeeeee! hana jipya ajuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…