Lady JD chali, Watu Wanacheza bila Kukunja Goti...

Lady JD chali, Watu Wanacheza bila Kukunja Goti...

we mleta mada kama una bifu na jd kamalizane naye hukohuko. usitake tukusaidie umeandika upuuzi mtupu mwache dada wa watu apige kazi. waliofulia kimuziki huwaoni?
 
Umelipwa shilingi ngp duh maana kwa unafiki huu co bure una biashara na FA ivi izi tour za Jide unazickia...
 
lady jaydee looh dada simpendi huyuuu utadhani hajazaliwa na mwanamke mwenzangu
mwanamke ana kisirani balaaaa
inshort kama ndo angekua anatoka asinge hit, ashukuru mungu ye ni ajuza wa huu mziki
anajiona keki kumbe muhogo
jaaluta mbilimbi mbovu
she think she own this world
she think she is jack of all trades
she is just good for nothing gum drops
an old mug
a bizzare impish
aaaghrrrrrrrrrr
 
Last edited by a moderator:
we mleta mada kama una bifu na jd kamalizane naye hukohuko. usitake tukusaidie umeandika upuuzi mtupu mwache dada wa watu apige kazi. waliofulia kimuziki huwaoni?

sihitaji msaada wa mtu...
Wewe unaonekana unapenda sana misaada.
Ila kumbuka ukipenda kupokea basi upende na kutoa...

jiandae kupinda mgongo...
 
Umelipwa shilingi ngp duh maana kwa unafiki huu co bure una biashara na FA ivi izi tour za Jide unazickia...

Sio tajili
Ila leo nita make
Ili watu Wanijue yaaah

Sina kitu
Ila leo nita make
Mpaka watu wanijue yaaah

Cheza cheza bila kukunja goti
Cheza cheza bila kukunja goti...
 
Wapi pana tusi?
hv unawajuwa Mods wa JF walivyo na njaa ya kuwafungia wadau?
Je pangekuwa na tusi unadhani mpaka muda huu ningekuwa nimesalimika?

Kama huna cha kuandike nenda kachukue kopo ukachambe...

hacha ugomvi na watoto wa kike au kuna nyimbo inakuhusu,chagua moja hipi kati ya hizi

1:wanaume kama mabinti
 
Leo nimeusikia wimbo Yahaya zaidi ya Mara Mbili....! On Radio Stations tofauti ndani ya Gari...

Mleta Uzi pengine kachanganya madesa... so anaona aibu kuukubali ukweli... so yeye ni kubisha mwanzo mwisho... hii thread inaweza kuwa ndefu sana maana imeletwa na Bingwa wa Ubishi jukwaani... yawezekana ni mzaramo huyu... kama Mbwiga wa Mbwiguke maneno hayaishi... amevaa kibwaya
 
Kuna mijitu ka Mingese. Bila kukunja goti nao ni wimbo...Ni promo ya media ndo inaoubeba hamna kitu....Lete majungu ya kike Jide anapiga hela
 
huo kukunja goti mbona nausikia clouds tuu au una rights huko tuu.
 
ahaa gang (chamba) commando atakuwepo na psquare soon utakuwepo.wewe kajadili ac milan.
 
Mmh...nenda harusini nenda kokote mpaka wazee wanaujua Yahaya...huo bila kukunja goti nausikia kwenye xxl clouds tu, so bro wake up from your sleep maaan...

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Kuna mijitu ka Mingese. Bila kukunja goti nao ni wimbo...Ni promo ya media ndo inaoubeba hamna kitu....Lete majungu ya kike Jide anapiga hela

Na wewe unapiga nini?
Mbona wowowo limekutepeta hivyo?
 
Back
Top Bottom