Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa hiyo avatar unamdhalilisha huyo jamaa
Wivu tu unakusumbua,mbona hizo song ndo habari ya mjini?
Gang Chomba
Kinachonifurahisha ni ule uwezo wako wa kusoma mawazo ya watu kabla hawajakurupuka na kuwazima kwa hoja. Fikra zako zidumu, God bless JF
we mleta mada kama una bifu na jd kamalizane naye hukohuko. usitake tukusaidie umeandika upuuzi mtupu mwache dada wa watu apige kazi. waliofulia kimuziki huwaoni?
Umelipwa shilingi ngp duh maana kwa unafiki huu co bure una biashara na FA ivi izi tour za Jide unazickia...
Wapi pana tusi?
hv unawajuwa Mods wa JF walivyo na njaa ya kuwafungia wadau?
Je pangekuwa na tusi unadhani mpaka muda huu ningekuwa nimesalimika?
Kama huna cha kuandike nenda kachukue kopo ukachambe...
hacha ugomvi na watoto wa kike au kuna nyimbo inakuhusu,chagua moja hipi kati ya hizi
1:wanaume kama mabinti
Kuna mijitu ka Mingese. Bila kukunja goti nao ni wimbo...Ni promo ya media ndo inaoubeba hamna kitu....Lete majungu ya kike Jide anapiga hela
huo kukunja goti mbona nausikia clouds tuu au una rights huko tuu.