Ladynaa Ana Tatizo Gani?

Ladynaa Ana Tatizo Gani?

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
38,342
Reaction score
88,625
Huyu dada jamani kaharibu kwa kina Esma weee sasa kahamia kwa Muna Casto na Peter. Anapendaga kujifanya yeye ndo dada wa wanaume kupita dada zao halisi. Hii issue ya Pat kuwa mtoto wa nani aliishikia bango kwa nguvu zote jana kuwa sio mtoto wa Casto na kutupa list ya madem wa Casto woote kama vile tulimuuliza. Hakutosheka akatupa mpaka nyumba ya msiba eti mwananyamala sijui kwa baba wa mtoto. Haya leo kaumbuka kafuta mapost yote. Kwa kina Dai mpaka alianza kuchambana na Esma kisa Zari. Ndo maana yule mkaka alozaa nae alikaa pembeni mwanamke kutwa kuingilia maugomvi ya watu mwishowe akamchamba na baba mtoto. Mlio karibu na huyu dada mwambieni jamani anapitiliza sasa.

Kama humjui uliza kistaarabu maana sio kila mtu anaejulikana na wewe umjue.
 
Aisee!

Hao wote siwajui.

Haya tuanze na huyo Muna Love au sijui Munalove?

Ni nani kwani?

Na huyo LadyN.....who is she?

I know....I know....this is way above [rather below, to be honest] my pay grade. But heck, it’s the 4th and I ain’t got shit to do so I might as well find something to do.

Now serve me the tea, please.

NB: Nadhani nimeuliza kistaarabu....
 
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Munalove ni bongo movie shoga mkubwa wa Lulu Michael na alikua bff wa Wema pia.

LadyN ni dadake Naj Datan ex gf wa Diamond/Baraka The Prince

Nimekujibu NN
 
Nenda kwenye jukwaa la siasa kaendelee kuwatetea wanalumumba usituharibie jukwaa kwa kiingereza chako uchwara.
 
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Munalove ni bongo movie shoga mkubwa wa Lulu Michael na alikua bff wa Wema pia.

LadyN ni dadake Naj Datan ex gf wa Diamond/Baraka The Prince

Nimekujibu NN

Shukran jazilan.

Hizo drama zipo wapi? Instagram?

Bahati mbaya sipo huko na ID yangu ishaibwa na mmoja wa ma ‘fan’ wangu!

Oh well....
 
Nahisi Alawi junior atakua anajuta sana kuzaa na yule mwanamke.

Ila nahisi sio mzima kikawaida huwezi kuropokwa vile aisee
Lazima ajute. Unakumbuka walivyoachana akamchamba Alawi insta
 
LadyNa mara nyingi sio mnafiki. Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda unafiki,kujipendekeza,kusifiwa tuuuu na mwisho kabisa kudanganywa.

Huyu kajipambanua na kujiweka kivyake kuna saa mnafiki mkweli,kuna saa mnafiku muongo,anyway bila yeye huu uzi usingekuwepo[emoji23]

Esma mwenyewe wale wale si ndio aliyemsogeza ladyNa kwa diamond na zari. Huyu huyu esma ndo alimvuruga kaka ake.
 
Back
Top Bottom