Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Huyu dada jamani kaharibu kwa kina Esma weee sasa kahamia kwa Muna Casto na Peter. Anapendaga kujifanya yeye ndo dada wa wanaume kupita dada zao halisi. Hii issue ya Pat kuwa mtoto wa nani aliishikia bango kwa nguvu zote jana kuwa sio mtoto wa Casto na kutupa list ya madem wa Casto woote kama vile tulimuuliza. Hakutosheka akatupa mpaka nyumba ya msiba eti mwananyamala sijui kwa baba wa mtoto. Haya leo kaumbuka kafuta mapost yote. Kwa kina Dai mpaka alianza kuchambana na Esma kisa Zari. Ndo maana yule mkaka alozaa nae alikaa pembeni mwanamke kutwa kuingilia maugomvi ya watu mwishowe akamchamba na baba mtoto. Mlio karibu na huyu dada mwambieni jamani anapitiliza sasa.
Kama humjui uliza kistaarabu maana sio kila mtu anaejulikana na wewe umjue.
Kama humjui uliza kistaarabu maana sio kila mtu anaejulikana na wewe umjue.