Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kapata pa kuchotea na maisha magumu mjini angefanyaje jamanWokovu wa Insta.
Swala ni hivi,kama alijua mtoto wa Casto alfu anaitwa jina la Peter maana yake likuwa anataka amchote Peter pesa kwa sababu y udhaifu wa mahaba.
Ila sio vizuri kabisa.
Okay angemwacha Peter azike.Rambi rambi atapokea yeye Rose.Kamchota sana jamani.Sasa kapata pa kuchotea na maisha magumu mjini angefanyaje jaman
Hivi mnadhani kuokoka ni kama kueka picha insta unalia madhabahuni eeeh. Mimi siamini wokovu wa huyo dada. Sana sana nitasema alimrudia Mungu mwanae apone ila sio kwamba alimaanisha kumtumikia MunguPamoja na wokovu wake alikuwa haoni aibu kuomba pesa kwa baba asiye wa mtoto,kuomba nauli ya ndege kisha kupanda basi na mchumba!
Ulokole wa kulia stejini unapigwa picha jioni mnaenda kuvunj amri ya sita!Yani nimemchukia kuliko kawaida. Yeye na Lwaga ni waongo hawana cha wokovu wowote
Kibongo bongo gharama zote zililipwa na bima. Kama kachangisha wanaoamini ulokole wake kazi kwaoSo Casto ni sperm donor ila gharama zotee alikuwa anazivaa Peter?
Alafu asiumie.
Mun mjanja sana kachangisha michango Agakhan wakati cost yote ilikuwa covered.
AmenCasto Mario yule hela aitoe wapi mama [emoji2] [emoji2] [emoji2] unadhani hela makalio kila mtu awe nayo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Casto alikuwa analelewa na muna kwa hela hizo hizo za Peter.
Baba ana busara sana yule. Mungu ampe maisha marefu.
Yanii...Alimrogea wapi sijui hadi kumgeuza kama ndondocha baba wa watu
Mwalimu BlacchynaWadada wa mjini wamefanya watoto dili, misiba ya watoto wanaona ni fursa na akaunti za M-pesa na Benki zinafunguliwa chap. hawana tofauti na magufuli kulamba hela za rambi rambi. Aibu ni pale marehemu mtoto hajulikani baba yake ni nani...hivyo nimewashangaa sana hata wanotuma rambi rambi.
FURSAWadada wa mjini wamefanya watoto dili, misiba ya watoto wanaona ni fursa na akaunti za M-pesa na Benki zinafunguliwa chap. hawana tofauti na magufuli kulamba hela za rambi rambi. Aibu ni pale marehemu mtoto hajulikani baba yake ni nani...hivyo nimewashangaa sana hata wanotuma rambi rambi.
Alafu yeye kaokoka!Huyu Muna kamroga jamaa, mwanaume kawa kama zuzu
Labda kama haujakutana na scenario za kichawiHakuna uchawi dunia hii!
Kama jamaa ni bwegge basi bwegge wa asili tu.
Uchawi ungekuwepo ningekuwa sipati erection. Au ningekuwa naokota makopo sasa hivi.
[emoji23][emoji23][emoji23]Afu bado alikuwa anamchota Peter anakula na mloloke wake mpya[emoji23]
Lazima uandike waraka insta kati kati ya majonzi
Ila peter kwa Muna hapindui...atafunga matanga bila kupenda na msamaha ataomba.
Na huyo mchumba wa kilokole kazi anayo.Hivi mnadhani kuokoka ni kama kueka picha insta unalia madhabahuni eeeh. Mimi siamini wokovu wa huyo dada. Sana sana nitasema alimrudia Mungu mwanae apone ila sio kwamba alimaanisha kumtumikia Mungu