Ladynaa Ana Tatizo Gani?

Wokovu wa Insta.
Swala ni hivi,kama alijua mtoto wa Casto alfu anaitwa jina la Peter maana yake likuwa anataka amchote Peter pesa kwa sababu y udhaifu wa mahaba.
Ila sio vizuri kabisa.
Sasa kapata pa kuchotea na maisha magumu mjini angefanyaje jaman
 
Pamoja na wokovu wake alikuwa haoni aibu kuomba pesa kwa baba asiye wa mtoto,kuomba nauli ya ndege kisha kupanda basi na mchumba!
Hivi mnadhani kuokoka ni kama kueka picha insta unalia madhabahuni eeeh. Mimi siamini wokovu wa huyo dada. Sana sana nitasema alimrudia Mungu mwanae apone ila sio kwamba alimaanisha kumtumikia Mungu
 
Amen
 
Mwalimu Blacchyna
 
FURSA
 
Hakuna uchawi dunia hii!

Kama jamaa ni bwegge basi bwegge wa asili tu.

Uchawi ungekuwepo ningekuwa sipati erection. Au ningekuwa naokota makopo sasa hivi.
Labda kama haujakutana na scenario za kichawi

Huku mavumbini hali mbaya sana mwanamke akimkamata mwanaume mwenye nazo basi anamgeuza zuzu/bwege
 
Afu bado alikuwa anamchota Peter anakula na mloloke wake mpya[emoji23]
Lazima uandike waraka insta kati kati ya majonzi
Ila peter kwa Muna hapindui...atafunga matanga bila kupenda na msamaha ataomba.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna uchawi dunia hii!

Kama jamaa ni bwegge basi bwegge wa asili tu.

Uchawi ungekuwepo ningekuwa sipati erection. Au ningekuwa naokota makopo sasa hivi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…