Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
DuhMkwara tu hawawezi kufanya huo upuuzi! Walitaka watu wafanye mazoezi tu! Unamzimiaje Line MTU ambaye hahusiki kwa uzembe wako? Issue ni NIDA na TCRA...Mimi unanizimia simu kwani nimegoma kusajili?
pii, hili zoezi linatakiwa kuwa endelevu, sasa kwanini tuwekeane deadline!? Ni kupotezeana muda tu, wameona watu wamegoma kupiga kura sasa wanalazimisha kukusanya taarifa zao ili zitumike....
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio agenda yao, kodi za nyumba na School fees zimetuacha tumechoka
Hii ni hasara, laini nyingi za MPESA na TIGO pesa zilikuwa zinauzwa mtaani kwa sh 100,000 au zaidi ya hiyo, unakuta mtu kanunua laini yenye majina hata hamjui aliye isajili, wengi walifanya biashara hiyo ya MPESA na TIGO PESA kwa laini zisizo zenye majina yao, leo zimefungwa, watapata wapi laini za biashara ukizingatia lazima uwe na lesseni ya Biashara ndio upewe laini, wengi hawana.
Je huu uzimaji utaongeza kasi ya maombi ya lesseni za Biashara? tuone huduma itakuwaje ila Vodacom Tanzania na Tigo njoni mtupe tathmini ya hasara huenda serikali itawasikiliza na mwenye kuhitaji Mpesa au Tigo pesa labda wanaweza wakapunguza masharti.
ama mimi tu mkuuUjuaji mwingi muwe mnaacha mbona zinafanya kazi sasa na sijasajili makusudi kabisa
Ujuaji mwingi muwe mnaacha mbona zinafanya kazi sasa na sijasajili makusudi kabisa
Yani kama kuzima kunafanywa kwa mtindo huo basi zangu zingekuwa fungu la kwanza kabisa.
Ni mpumbavu pekee anayeweza kuzima line 22m
Yani kama kuzima kunafanywa kwa mtindo huo basi zangu zingekuwa fungu la kwanza kabisa.
Kwa sababu zina madeni makomavu na kila ikitokea mwanya wa kukopa nazikopea.
.
Nadaiwa mpaka na website ya voda uone maajabu sasa