wasalaam wana mmu...!miongoni mwa vitu vinavyonivutia humu jamvini ni pamoja na ávators´ za wana jf....!nimejizuia cku nyingi lkn leo inabidi niweke mambo hadharani...co siri avator ya AFRONDEZI inanimaliza sana....macho yako mmm yanaita..ana romantic lips na mashavu malaini.....na anaonekana ni ´very interlect´ kwa jinsi anavyodadavu mada anuai hapa jamvini...ningepata nafasi ya kuonana naye na kulisadifu umbo lake ningemwambia ¨AFRONDEZI.....I..I.....I FEEL YOU¨!.....ni hayo tu...1
the same to meI love the name.
sasa si um-PM?

laiti kama ´avatos´zingelikuwa za ukweli...!
Una harakishia wapi sasa???
wiki hizi mbili,watu wanadondokeana tu humu ndani...yote heri.
No commentNimeangalia avatar nyingi na nakubali kuwa siyo pic zao halisi ila huzifanya kama za kweli vile. Lkn sijuwi ukweli uko wapi ktk avatar ya Muhammed Soshi. Na avatar yngu imechukuliwa na pic yangu halisi. Na uwamuzi huo umekuja baada ya kuangalia avatar ya The Fienest na Afrodenze ambazo zimetulia ktk colour ya black and white, hivyo ni kama zilinipa ujasiri fulani wa kunifanya niweke pic yangu halisi. But I need not to meet with any one eti kwa sababu ya avatar.
Bahati mbaya AFRODENZI anaolewa soonwasalaam wana mmu...!miongoni mwa vitu vinavyonivutia humu jamvini ni pamoja na ávators´ za wana jf....!nimejizuia cku nyingi lkn leo inabidi niweke mambo hadharani...co siri avator ya AFRONDEZI inanimaliza sana....macho yako mmm yanaita..ana romantic lips na mashavu malaini.....na anaonekana ni ´very interlect´ kwa jinsi anavyodadavu mada anuai hapa jamvini...ningepata nafasi ya kuonana naye na kulisadifu umbo lake ningemwambia ¨AFRONDEZI.....I..I.....I FEEL YOU¨!.....ni hayo tu...1
Bahati mbaya AFRODENZI anaolewa soon
Bahati mbaya AFRODENZI anaolewa soon
Aisee umesahau agano letu nina kesi na wewe utaijibu keshoHuh???????????!Mimi tu nimebaki!
Bwana harusi anajulikana banaa hajitaji jina.Sure na mimi ndo bwana harusi!
Mimi naupenda mwandiko wake jamani,akiandika comment humu dah!
Ana nikumbusha ilivokuwa rahisi kum sahihishia daftari lake la mwandiko darasa la pili!
So nice naoa mwanafunzi wangu