laiti kama ´avator´zingelikuwa za ukweli...!

The Kop

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2010
Posts
209
Reaction score
93
wasalaam wana jf...! miongoni mwa vitu vinavyonivutia hapa jf ni ´avators´! nimekuwa nikitumia muda mrefu kuangalia ávator´ ya AFRODENZI...kwa kweli anaonekana kuwa mrembo haswa, ana ´lips´ nzuri, macho ya kuita, shavu lilobonyea.......natamani kukutana naye, na anaonekana ni ´interlect´ kutokana na anavyodadavua mada anuai hapa jamvini....! ni hayo tu....!
 
Sio "avator", ni 'avatar'
"interlect" ulikusudia kusema 'intellectual'?

Peace and love pal!:ranger:
 
wasalaam wana mmu...!miongoni mwa vitu vinavyonivutia humu jamvini ni pamoja na ávators´ za wana jf....!nimejizuia cku nyingi lkn leo inabidi niweke mambo hadharani...co siri avator ya AFRONDEZI inanimaliza sana....macho yako mmm yanaita..ana romantic lips na mashavu malaini.....na anaonekana ni ´very interlect´ kwa jinsi anavyodadavu mada anuai hapa jamvini...ningepata nafasi ya kuonana naye na kulisadifu umbo lake ningemwambia ¨AFRONDEZI.....I..I.....I FEEL YOU¨!.....ni hayo tu...1
 
I love the name.
 
Nimeangalia avatar nyingi na nakubali kuwa siyo pic zao halisi ila huzifanya kama za kweli vile. Lkn sijuwi ukweli uko wapi ktk avatar ya Muhammed Soshi. Na avatar yngu imechukuliwa na pic yangu halisi. Na uwamuzi huo umekuja baada ya kuangalia avatar ya The Fienest na Afrodenze ambazo zimetulia ktk colour ya black and white, hivyo ni kama zilinipa ujasiri fulani wa kunifanya niweke pic yangu halisi. But I need not to meet with any one eti kwa sababu ya avatar.
 
icon1.png
laiti kama ´avatos´zingelikuwa za ukweli...!

wasalaam wana mmu...!miongoni mwa vitu vinavyonivutia humu jamvini ni pamoja na ávators´ za wana jf....!nimejizuia cku nyingi lkn leo inabidi niweke mambo hadharani...co siri avator ya AFRONDEZI inanimaliza sana....macho yako mmm yanaita..ana romantic lips na mashavu malaini.....na anaonekana ni ´very interlect´ kwa jinsi anavyodadavu mada anuai hapa jamvini...ningepata nafasi ya kuonana naye na kulisadifu umbo lake ningemwambia ¨AFRONDEZI.....I..I.....I FEEL YOU¨!.....ni hayo tu...1

Una harakishia wapi sasa???
 
wiki hizi mbili,watu wanadondokeana tu humu ndani...yote heri.
 
Nimeangalia avatar nyingi na nakubali kuwa siyo pic zao halisi ila huzifanya kama za kweli vile. Lkn sijuwi ukweli uko wapi ktk avatar ya Muhammed Soshi. Na avatar yngu imechukuliwa na pic yangu halisi. Na uwamuzi huo umekuja baada ya kuangalia avatar ya The Fienest na Afrodenze ambazo zimetulia ktk colour ya black and white, hivyo ni kama zilinipa ujasiri fulani wa kunifanya niweke pic yangu halisi. But I need not to meet with any one eti kwa sababu ya avatar.
No comment
 
wasalaam wana mmu...!miongoni mwa vitu vinavyonivutia humu jamvini ni pamoja na ávators´ za wana jf....!nimejizuia cku nyingi lkn leo inabidi niweke mambo hadharani...co siri avator ya AFRONDEZI inanimaliza sana....macho yako mmm yanaita..ana romantic lips na mashavu malaini.....na anaonekana ni ´very interlect´ kwa jinsi anavyodadavu mada anuai hapa jamvini...ningepata nafasi ya kuonana naye na kulisadifu umbo lake ningemwambia ¨AFRONDEZI.....I..I.....I FEEL YOU¨!.....ni hayo tu...1
Bahati mbaya AFRODENZI anaolewa soon
 
Bahati mbaya AFRODENZI anaolewa soon

Sure na mimi ndo bwana harusi!
Mimi naupenda mwandiko wake jamani,akiandika comment humu dah!
Ana nikumbusha ilivokuwa rahisi kum sahihishia daftari lake la mwandiko darasa la pili!

So nice naoa mwanafunzi wangu
 
Bwana harusi anajulikana banaa hajitaji jina.
 
Back
Top Bottom