Laiti kama kule Hai angekuwepo mwanaume kama Saidy Mwamwindi

Ungeweka na mwaka maana hili tukio kila mtu ana hadithi yake. Wengine wanadai alikuwa anatembea na mke wa mkulima na wengine wanadai RC alikuwa anadaiwa. Nipo hapa kisasa shell nasubiria ukweli.
Kisasa shell!
 
Kama vyombo husika vilikiwepo na kushuhudia yote hayo lakini havikuchukua hatia ulitaka awashauri nini?

ujinga ni kuamini yote hayo yalitokea mbele ya kundi hilo la watu,tuna shida sana ya kutafakari wabongo.
 
Unahimiza watu wajichukulie sheria mkononi badala ya kuripoti kwa vyombo husika, you are mentally exhausted, take a rest.
Vyombo husika vyenyewe ni maiti tu. Hii takataka Sabaya ishukuru Mungu bado inapumua, japo mumewe kafa kifala tu!
 
Mkuu hivyo vyombo husika ndivyo alivyokuwa anavitumia Sabaya kunyanyasa watu.
Kesi ya nyani umpelekee ngedere?
Huyo Mkuu wa Mkoa alikuwa analindwa na Nyerere kama Sabaya kwa Magufuli?
 
Vyombo husika vyenyewe ni maiti tu. Hii takataka Sabaya ishukuru Mungu bado inapumua, japo mumewe kafa kifala tu!
Sioni uhusiano kati ya Sabaya na Mwamindi, mnachanganya mambo tu, Sabaya alitumia madaraka yake vibaya, Mwamindi alijichukulia sheria mkononi kumuua huyo Mkuu wa Mkoa.
 
Ni vile tu Watanzania hatuna roho ya kulipa visasi ila watu kama Sabaya na Makonda wasingetakiwa kufika leo hii baada ya kinga yao kuyeyuka
 
Mr zakaria yule michezo hiyo anaijua sana na hao alidili nao kimafia kama walivyo muibukia. Lakini si kuwabughudhi maafisa wanaojulikana.
Zakaria ilifikika hatu ata traffic wakawa wanaogopa kusimamisha gari zake
 
Mim nasikia alitakiwa akalime shambala ujamaa hata siku ya sikukuu na ndo akaamua kumpiga mtu risasi
Point yake sio kisa kilichokuwa. Point yake Ni watu wenye kuweza kuchukua hatua ya jino kwa jino. Huyo jamaa anakumbukwa kwa kukataa viongozi wasiofata utaratibu wakati wa kutekeleza majukumu yao
 
Last time I checked, wasiojulikana walipigwa risasi tarime. Mpaka sasa hii rekodi haijavunjwa, walikutana na kichwa ngumu!
Yah! Zacharia aliwanyoosha hatimae wakamsingizia kesi za uhujumu uchumi. Mkoa huo hatupendi upuuzi.
 
Huwa nafuatilia tuhuma zote alizotuhumiwa Sabaya nabaki kujiuliza
What if kingetokea kidume kama Mohamed Mwamwindi kule Hai ..kingebadili historia yote ya Hai na kila kiongozi akipelekwa Hai anakuwa na adabu kabisa...

Wale wasiojua historia zamani kidogo
Serikali ya Mwl Nyerere ilikuwa inaogopewa Sana ..na hata Ma RC na Ma Dc walikuwa wanaogopewa ..
Ingawa haikuwa serikali ya kufanya mabaya kwa wananchi tena wazi wazi kama alivyofanya Sabaya ..

Sasa wakati fulani ilipitishwa Sera ya Vijiji vya ujamaa kwa mujibu wa Sera hii..
Wananchi waliokaa mbalimbali walikusanywa wakae pamoja ..walime pamoja...
Hii Sera ilikuja kufeli na kusababisha baa kubwa la njaa baadae kabla haijabadilishwa na kusitishwa..
Watu walikufa pia maporini inasemekana walipoelekwa bila mipango sahihi ..
Nyerere alikuwa anajaribu ku copy Vijiji vya kijamaa vya China ..lakin utekelezaji wake ukaishia kuleta shida sana..

Sasa kule Iringa kulikuwa na kidume kimoja chenye mashamba yake Makubwa analima hadi na matrekta yake mwenyewe ...anaitwa Mohamed Mwamwindi ..huyu akawa na yeye anatakiwa kuacha shughuli zake kwenye mji wake aende akajiunge kwenye kijiji cha ujamaa..walime na wengine...

Watu wengi walikuwa hawataki kabisa hii Sera ..walipinga kimyakimya na wengine mgomo baridi ..

Kampeni za kuhamasisha zilisambaa na Ma RC na ma DC walikuwa mbele sana kwenye kuhamisha hamisha watu wapelekwe kwenye Vijiji vya ujamaa..

Iringa alikuwepo RC anaitwa Dk Kleruu ambae alikuwa mkali Sana akihimiza na hata kutumia nguvu kuhamisha watu kupeleka Vijiji vya ujamaa...

Inasemekana huyu jamaa alikuwa kila mara anakwenda kwa Ndugu Mwamwindi kumtishia kutumia nguvu ya kumhamisha aende kwenye kijiji cha ujamaa ..

Siku moja Huyu RC alienda kwa Mwamwindi akafoka sana na mikwara mingi na kutishia sana ... Mwamwindi inasemekana aliingia ndani akatoka na bunduki yake the rest is History..
Kisha akaubeba na mwili wa Marehem kwenye gari yake akaupeleka yeye mwenyewe polisi.....akawaambia polisi
Chukueni 'mzigo wenu'kwenye gari...

Nimesikia kuna dada za watu na wake za watu zaidi ya 40 huko walikuwa wanabakwa na kulawitiwa kwa nguvu huko Hai ...nikawa najiuliza what if mtu kama Sabaya angekutana na mtu kama Mohamed Mwamwindi?....

Leo tusingepoteza kabisa MDA WA kufuatilia kesi hii...

N.B.
Recollection ya history ya Mwamwindi na Kleruu inaweza kuwa na errors mbalimbali sababu nilisimuliwa zamani halafu kwa mdomo tu..
Wanaojua history kamili wanaweza tuwekea hapa
Rubbish
 
Mwamindi alikuwa anajiweza hawa wateule wa CCM wanayanyasa maskini mbao hawana hata gari Bunduki n.k
 
Basi wahehe wakisoma huu uzi vichwa vinavimba balaa...

Ila tuseme ukweli wahehe wanajielewa. Wakisema no, ni noo kweli.

Dr. Hassy Raphael Kitine msomi, waziri wa zamani, DG TISS wa zamani anawaelewa vizuri sana walichomfanya 1995. Hajarudi tena!
 
Huwa nafuatilia tuhuma zote alizotuhumiwa Sabaya nabaki kujiuliza
What if kingetokea kidume kama Mohamed Mwamwindi kule Hai ..kingebadili historia yote ya Hai na kila kiongozi akipelekwa Hai anakuwa na adabu kabisa...

Wale wasiojua historia zamani kidogo
Serikali ya Mwl Nyerere ilikuwa inaogopewa Sana ..na hata Ma RC na Ma Dc walikuwa wanaogopewa ..
Ingawa haikuwa serikali ya kufanya mabaya kwa wananchi tena wazi wazi kama alivyofanya Sabaya ..

Sasa wakati fulani ilipitishwa Sera ya Vijiji vya ujamaa kwa mujibu wa Sera hii..
Wananchi waliokaa mbalimbali walikusanywa wakae pamoja ..walime pamoja...
Hii Sera ilikuja kufeli na kusababisha baa kubwa la njaa baadae kabla haijabadilishwa na kusitishwa..
Watu walikufa pia maporini inasemekana walipoelekwa bila mipango sahihi ..
Nyerere alikuwa anajaribu ku copy Vijiji vya kijamaa vya China ..lakin utekelezaji wake ukaishia kuleta shida sana..

Sasa kule Iringa kulikuwa na kidume kimoja chenye mashamba yake Makubwa analima hadi na matrekta yake mwenyewe ...anaitwa Mohamed Mwamwindi ..huyu akawa na yeye anatakiwa kuacha shughuli zake kwenye mji wake aende akajiunge kwenye kijiji cha ujamaa..walime na wengine...

Watu wengi walikuwa hawataki kabisa hii Sera ..walipinga kimyakimya na wengine mgomo baridi ..

Kampeni za kuhamasisha zilisambaa na Ma RC na ma DC walikuwa mbele sana kwenye kuhamisha hamisha watu wapelekwe kwenye Vijiji vya ujamaa..

Iringa alikuwepo RC anaitwa Dk Kleruu ambae alikuwa mkali Sana akihimiza na hata kutumia nguvu kuhamisha watu kupeleka Vijiji vya ujamaa...

Inasemekana huyu jamaa alikuwa kila mara anakwenda kwa Ndugu Mwamwindi kumtishia kutumia nguvu ya kumhamisha aende kwenye kijiji cha ujamaa ..

Siku moja Huyu RC alienda kwa Mwamwindi akafoka sana na mikwara mingi na kutishia sana ... Mwamwindi inasemekana aliingia ndani akatoka na bunduki yake the rest is History..
Kisha akaubeba na mwili wa Marehem kwenye gari yake akaupeleka yeye mwenyewe polisi.....akawaambia polisi
Chukueni 'mzigo wenu'kwenye gari...

Nimesikia kuna dada za watu na wake za watu zaidi ya 40 huko walikuwa wanabakwa na kulawitiwa kwa nguvu huko Hai ...nikawa najiuliza what if mtu kama Sabaya angekutana na mtu kama Mohamed Mwamwindi?....

Leo tusingepoteza kabisa MDA WA kufuatilia kesi hii...

N.B.
Recollection ya history ya Mwamwindi na Kleruu inaweza kuwa na errors mbalimbali sababu nilisimuliwa zamani halafu kwa mdomo tu..
Wanaojua history kamili wanaweza tuwekea hapa
Nikiwa form 6 nilikuwa nasoma Gazette la rai. Rai ile ngumu ya kina salva
Nilikutana na makala iloandikwa na majid mjingwa kuhusu huyu mtu.
Nalishukuru gazet la rai
 
Back
Top Bottom