Laiti kama kule Hai angekuwepo mwanaume kama Saidy Mwamwindi

Ungeweka na mwaka maana hili tukio kila mtu ana hadithi yake. Wengine wanadai alikuwa anatembea na mke wa mkulima na wengine wanadai RC alikuwa anadaiwa. Nipo hapa kisasa shell nasubiria ukweli.
Kisasa shell!
 
Kama vyombo husika vilikiwepo na kushuhudia yote hayo lakini havikuchukua hatia ulitaka awashauri nini?

ujinga ni kuamini yote hayo yalitokea mbele ya kundi hilo la watu,tuna shida sana ya kutafakari wabongo.
 
Unahimiza watu wajichukulie sheria mkononi badala ya kuripoti kwa vyombo husika, you are mentally exhausted, take a rest.
Vyombo husika vyenyewe ni maiti tu. Hii takataka Sabaya ishukuru Mungu bado inapumua, japo mumewe kafa kifala tu!
 
Vyombo husika vyenyewe ni maiti tu. Hii takataka Sabaya ishukuru Mungu bado inapumua, japo mumewe kafa kifala tu!
 
Mkuu hivyo vyombo husika ndivyo alivyokuwa anavitumia Sabaya kunyanyasa watu.
Kesi ya nyani umpelekee ngedere?
Huyo Mkuu wa Mkoa alikuwa analindwa na Nyerere kama Sabaya kwa Magufuli?
 
Vyombo husika vyenyewe ni maiti tu. Hii takataka Sabaya ishukuru Mungu bado inapumua, japo mumewe kafa kifala tu!
Sioni uhusiano kati ya Sabaya na Mwamindi, mnachanganya mambo tu, Sabaya alitumia madaraka yake vibaya, Mwamindi alijichukulia sheria mkononi kumuua huyo Mkuu wa Mkoa.
 
Ni vile tu Watanzania hatuna roho ya kulipa visasi ila watu kama Sabaya na Makonda wasingetakiwa kufika leo hii baada ya kinga yao kuyeyuka
 
Mr zakaria yule michezo hiyo anaijua sana na hao alidili nao kimafia kama walivyo muibukia. Lakini si kuwabughudhi maafisa wanaojulikana.
Zakaria ilifikika hatu ata traffic wakawa wanaogopa kusimamisha gari zake
 
Mim nasikia alitakiwa akalime shambala ujamaa hata siku ya sikukuu na ndo akaamua kumpiga mtu risasi
Point yake sio kisa kilichokuwa. Point yake Ni watu wenye kuweza kuchukua hatua ya jino kwa jino. Huyo jamaa anakumbukwa kwa kukataa viongozi wasiofata utaratibu wakati wa kutekeleza majukumu yao
 
Last time I checked, wasiojulikana walipigwa risasi tarime. Mpaka sasa hii rekodi haijavunjwa, walikutana na kichwa ngumu!
Yah! Zacharia aliwanyoosha hatimae wakamsingizia kesi za uhujumu uchumi. Mkoa huo hatupendi upuuzi.
 
Rubbish
 
Mwamindi alikuwa anajiweza hawa wateule wa CCM wanayanyasa maskini mbao hawana hata gari Bunduki n.k
 
Basi wahehe wakisoma huu uzi vichwa vinavimba balaa...

Ila tuseme ukweli wahehe wanajielewa. Wakisema no, ni noo kweli.

Dr. Hassy Raphael Kitine msomi, waziri wa zamani, DG TISS wa zamani anawaelewa vizuri sana walichomfanya 1995. Hajarudi tena!
 
Nikiwa form 6 nilikuwa nasoma Gazette la rai. Rai ile ngumu ya kina salva
Nilikutana na makala iloandikwa na majid mjingwa kuhusu huyu mtu.
Nalishukuru gazet la rai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…